Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,816
- 4,323
Ni taratibu za fifa hizo na Raisi wa fifa anazitafuta kabla ya uchaguzi ndio maana mara nyingi na yeye anapita bila kupingwa .Huu ni ulimwengu wa mpira wa miguu waulize wanasheria wanavyokwama kila wakikata rufaa hawaelewi kama wewe na hawataelewa kama wewe.Sababu ya endorsement ni nini?