Nimekuta wenzako pale jangwani wamepanga foleni wanasubiria hela yao ya tofali vipi wameshakupatia ya kwakoSitaki nirejee nukuu ya Rage alivotupatia jina letu pendwa.
Sisi wanasimba Leo tumebubujikwa na machozi ya furahia kama Mwashamba kutoka jukwaa la siasa baada ya ushindi fake wa Wallace Karia
Lakini tukumbuke tu huyo tunayedhani atatusaidia haingii uwanjani kumkaba Pacome, Max, Mudathiri, Kouma na wengine, Nina Imani mechi ya ngao ya jamii tutapokea kipigo cha 6 mfululizo kutoka Kwa miamba Yanga
Yanga wapo wanaandaa timu na Jana wamepata mechi ngumu iliyokuwa live,
Wachezaji wa Simba wako Egypt wanatomasana na kuogolea wakija wakapigwa sijui Karia atawasaidia nini?
Wewe sio mtu wa mpira Raisi wa Fifa ameshinda vipi?Rais wa CAF ameshinda vipi?Rais wa UEFA ameshinda vipi?nitajie Raisi aliyekuwa na mpinzani.Watanzania wengi mnapenda team sio mpira ,uongozi wa football federation sio Siasa kuna njia zake .Usiojua mpira unashangaa karia kushinda ,mbona haukushangaa Motsepe kushinda kama karia?Sitaki nirejee nukuu ya Rage alivotupatia jina letu pendwa.
Sisi wanasimba Leo tumebubujikwa na machozi ya furahia kama Mwashamba kutoka jukwaa la siasa baada ya ushindi fake wa Wallace Karia
Lakini tukumbuke tu huyo tunayedhani atatusaidia haingii uwanjani kumkaba Pacome, Max, Mudathiri, Kouma na wengine, Nina Imani mechi ya ngao ya jamii tutapokea kipigo cha 6 mfululizo kutoka Kwa miamba Yanga
Yanga wapo wanaandaa timu na Jana wamepata mechi ngumu iliyokuwa live,
Wachezaji wa Simba wako Egypt wanatomasana na kuogolea wakija wakapigwa sijui Karia atawasaidia nini?
Karia kajikusanyia endorsement kabla ya uchaguzi TFF kinyume cha taratibu, ili wagombea wengine wakosa endorsement na sifa za kugombea Urais TFFWewe sio mtu wa mpira Raisi wa Fifa ameshinda vipi?Rais wa CAF ameshinda vipi?Rais wa UEFA ameshinda vipi?nitajie Raisi aliyekuwa na mpinzani.Watanzania wengi mnapenda team sio mpira ,uongozi wa football federation sio Siasa kuna njia zake .Usiojua mpira unashangaa karia kushinda ,mbona haukushangaa Motsepe kushinda kama karia?
Kama fulani amefanya kosa, unaweza na wewe kuiga kisa fulani amefanya?, fifa na caf wote ni walewale ,wao kufanya haimaanishi wako sawaWewe sio mtu wa mpira Raisi wa Fifa ameshinda vipi?Rais wa CAF ameshinda vipi?Rais wa UEFA ameshinda vipi?nitajie Raisi aliyekuwa na mpinzani.Watanzania wengi mnapenda team sio mpira ,uongozi wa football federation sio Siasa kuna njia zake .Usiojua mpira unashangaa karia kushinda ,mbona haukushangaa Motsepe kushinda kama karia?
Team mpaka leo inajificha kwenye kivuli cha derby mwenzako namba 5 huko Africa nyie endeleeni kuroga mshinde derby hata Madrid ni club namba moja duniani kwa ubora ila Barcelona anajipigia tu mda wowote watu wanaangalia business nyie mpaka leo wimbo wenu ni derby derby ila simba wajanja wale jamaa wapo smart sana.Zinakuja 5 jipange
Karia ataikaba yanga yote kama timu,lakini karia atang'olewa,j3 shauri la kumuondoa linawasilishwa mahakamaniSitaki nirejee nukuu ya Rage alivotupatia jina letu pendwa.
Sisi wanasimba Leo tumebubujikwa na machozi ya furahia kama Mwashamba kutoka jukwaa la siasa baada ya ushindi fake wa Wallace Karia
Lakini tukumbuke tu huyo tunayedhani atatusaidia haingii uwanjani kumkaba Pacome, Max, Mudathiri, Kouma na wengine, Nina Imani mechi ya ngao ya jamii tutapokea kipigo cha 6 mfululizo kutoka Kwa miamba Yanga
Yanga wapo wanaandaa timu na Jana wamepata mechi ngumu iliyokuwa live,
Wachezaji wa Simba wako Egypt wanatomasana na kuogolea wakija wakapigwa sijui Karia atawasaidia nini?
Hakuna kosa kwenye mpira wewe ndio unakosea maana haujui Dunia ya mpira inavyokwendaKama fulani amefanya kosa, unaweza na wewe kuiga kisa fulani amefanya?, fifa na caf wote ni walewale ,wao kufanya haimaanishi wako sawa
Fuatilia football Motsepe alikusanya endorsement wakati wa uchaguzi ?Fuatilia mpira sio Siasa mpira wa miguu una njia zakeKaria kajikusanyia endorsement kabla ya uchaguzi TFF kinyume cha taratibu, ili wagombea wengine wakosa endorsement na sifa za kugombea Urais TFF
Ni mpumbavu pekee atafurahia huu upumbavu
Competing against your selfKaria kajikusanyia endorsement kabla ya uchaguzi TFF kinyume cha taratibu, ili wagombea wengine wakosa endorsement na sifa za kugombea Urais TFF
Ni mpumbavu pekee atafurahia huu upumbavu
Nimekwambia Karia kukusanya kabla ya kipindi cha uchaguzi, wewe unaleta porojo za Motseppe kukusanya wakati wa uchaguziFuatilia football Motsepe alikusanya endorsement wakati wa uchaguzi ?Fuatilia mpira sio Siasa mpira wa miguu una njia zake
Mkuu,, ishu sio dunia ya mpira, the issue is UHALISIA, kwa mfano, kama dunia ya mpira ina ufisadi utahalalisha huo ufisadi kisa unafanyika dunia ya mpira?,Hakuna kosa kwenye mpira wewe ndio unakosea maana haujui Dunia ya mpira inavyokwenda
Hakuna Raisi wa chama Cha mpira chochote Duniani atashinda uchaguzi Kwa kusubiri endorsement wakati wa uchaguziNimekwambia Karia kukusanya kabla ya kipindi cha uchaguzi, wewe unaleta porojo za Motseppe kukusanya wakati wa uchaguzi