Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Baada ya kusoma hili andiko lako nimeona aibu sana !Fainali uzeeni
Huyu si alikuwa na pesa huyu baba yake Mariam Mogella aka get buzy?;Au mke ndo alimfilisi jumla.Mchezaji wa zamani wa Simba na Taifa Stars Zamoyoni Mogella yuko mbioni kutimuliwa kwenye kota za Urafiki baada ya kulimbikiza kodi mpaka kufikia deni la Tsh mil 5.
Chanzo - Mwananchi .
Ombi - kutoa ni moyo .
Kama ambavyo Lunyamila dakika za mwisho alivyoleta usimba simbaHuyu super star wetu wa zamani si ana mjengo wake pale kinondoni huyu? Halafu huyu jamaa dakika za mwisho alituletea uyanga yanga !!
Lunyamila, Mohammed Hussein, Athumani China. Na upande wa Simba ni Zamoyoni Mogela, Methord Mogela, Hamisi GagaKama ambavyo Lunyamila dakika za mwisho alivyoleta usimba simba
Hivi mjomba umewahi kuwasikia wanawake wa kimanyema ?Huyu alikuwa na ghorofa moja kinondoni karibu na shule ya msingi muongo,pia alikua na nyumba pale mkwajuni karibu na baa ya katumba
Sasa zimeenda wapi mpk anadaiwa?
Mkuu tema mate chini ! Kabla hujafa hujaumbikaHuyu si alikuwa na pesa huyu baba yake Mariam Mogella aka get buzy?;Au mke ndo alimfilisi jumla.
Ni kweli,aliachana na mama Mariam akampa nyumba moja,mama akauza pesa ilipomuishia akarudi kudai tena hadi mahakamani.Mkuu tema mate chini ! Kabla hujafa hujaumbika
ccFainali uzeeni
Duh ! Ngoja niusambaze huu ushauri wako kwa wadau .ukidaiwa pesa nyingi hivyo ya kodi huwezi kufukuzwa hata siku moja.
akilipa tu hilo deni ndiyo atafukuzwa.
Nashauri changeni pesa ya kumtorosha akaishi sehemu nyingine.
Mbona Boban ni Tajiri !Simba ina laana wachezaji wake wote wanaishia kuwa masikini .....