Wanasimba wameshinda lakini hawana furaha ndani ya mioyo yao

Wanasimba wameshinda lakini hawana furaha ndani ya mioyo yao

Mohammed V Stadium
1269149354.jpg
 
Tuna furaha sana mkuu Kwa mpira wa mwarabu wa leo Kwa mkapa tunaenda kumuongeza goli 4 kwake
Away game ndio approach yao Waarabu, kule Casablanca utasema wamewabadirishia timu lakini ni timu hiyo hiyo.

Tufurahi kwa ushindi wa leo, lakini kuwatowa Wamorocco kwao bado hauna uwekezaji huo.

Mpaka sasa ni Mamelodi peke yake ndio anaweza kukomaa na Waarabu kwao.

Ukitaka kujifunza kitu usikose kuangalia mechi ya leo SAA 4 usiku kati ya Raja na Al Ahaly
 
Back
Top Bottom