NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
Ndiyo Imani yako ilivyokutuma, yanga kuwaachia dabi ile ilikua ni akili/maandalizi ya kimataifa tukamkande rivers hautoamini kesho kitakacho mtokea.Tulia wewe ally komwe kwanza kesho unapigwa na rivers
Umeona eee anacheka kama analia angalia AvatarUmeona ukiumia kimyakimya hutoweza,mpaka umepiga yowe😂😂😂😂
Uwanja umejaa maji lakini mmeshindwa kumfunga sembuse kwake hasmsa zinawahusu, hamtoamini macho yenu.Tuna furaha sana mkuu Kwa mpira wa mwarabu wa leo Kwa mkapa tunaenda kumuongeza goli 4 kwake
Hahaaaa kweli mlituachia mpk kocha akaongea kiswahili...Ndiyo Imani yako ilivyokutuma, yanga kuwaachia dabi ile ilikua ni akili/maandalizi ya kimataifa tukamkande rivers hautoamini kesho kitakacho mtokea.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mbona sisi tumewapiga yanga na tumewapiga wydad as usual msilete visingizio, simba ni timu boraNdiyo Imani yako ilivyokutuma, yanga kuwaachia dabi ile ilikua ni akili/maandalizi ya kimataifa tukamkande rivers hautoamini kesho kitakacho mtokea.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hiyo picha nilikua natabasamu wewe [emoji16]Umeona eee anacheka kama analia angalia Avatar
Ndiyo Imani yako ilivyokutuma, yanga kuwaachia dabi ile ilikua ni akili/maandalizi ya kimataifa tukamkande rivers hautoamini kesho kitakacho mtokea.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nenda kachutame usali kesho Taifa lisidhalilikeUwanja umejaa maji lakini mmeshindwa kumfunga sembuse kwake hasmsa zinawahusu, hamtoamini macho yenu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahahahaaa
Nilikuuliza mmechukua kombe lakini hukunijibu[emoji41]Hahaaaa kweli mlituachia mpk kocha akaongea kiswahili...
Sisi furaha yetu kwa sasa ni kuwakanda wale wenye maneno mingi mingi...Nilikuuliza mmechukua kombe lakini hukunijibu[emoji41]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kijembe cha hatari
Oya acha bana wataliaMohammed V StadiumView attachment 2596475
Hasira za Nini halafu mnawasha mamoshi uwanjaniWewe yanga na mmeo wydad wote nimewapakata, hebu sema lingine
Angalia usije ukamkataa mchungaji wako tu.Kuna mchungaji ametabiri huko kuwa YANGA atafungwa nje ndani na RIVERS... ngoja tuone
Kwa hiyo siyo kuchukua kombe.Sisi furaha yetu kwa sasa ni kuwakanda wale wenye maneno mingi mingi...
Away game ndio approach yao Waarabu, kule Casablanca utasema wamewabadirishia timu lakini ni timu hiyo hiyo.Tuna furaha sana mkuu Kwa mpira wa mwarabu wa leo Kwa mkapa tunaenda kumuongeza goli 4 kwake