Wanasimba wameshinda lakini hawana furaha ndani ya mioyo yao

Leo mnapigwa katerero hadi mrushe mimaji
 

Ndiyo Imani yako ilivyokutuma, yanga kuwaachia dabi ile ilikua ni akili/maandalizi ya kimataifa tukamkande rivers hautoamini kesho kitakacho mtokea.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kabla ya makundi ---- simba mbovu haipati hata point..... watu wakajipigia hesabu wakatoka na pwent zao
Robo final ---- Simba kapangwa na wydad, haaaaaa wamekwisha, tapigwa nje ndani........ watu haoooooo washajipigia ntu kwa nkapa..... tunasubiria kwao.....


Nilichogundua ni kwamba mashabiki wengi wa yanga wanasumbuliwa na ushamba, shangilia yao ni ya kishamba sana, yani ulimbukeni umewajaa, bado wana ushangiliaji wa kelele, mishipa ya shingo inawasimama..... simba ni wastaarabu, wanashangilia kidoni.... easy yani.... huku tunapiga hesabu ya kituo kinachofuata
 
Sasa bado unaamini kuwa simba ataifunga wydad nyumbani kwao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…