Aizn
JF-Expert Member
- Dec 14, 2022
- 2,172
- 4,196
Safari yako wewe inaanza Leo saa 10 ukapigwe 3 bila swafwi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga itafika nusu amini usiamini aisee.Safari yako wewe inaanza Leo saa 10 ukapigwe 3 bila swafwi tu
Leo mnapigwa katerero hadi mrushe mimajiKongole mtani kwa hicho kidogo ulichokipata pasipo kuwa na tegemezi/matarajio maana hiyo ni zaidi ya kujaribu kujiokoa kutoka kwenye Domo la mamba mwenye njaa Kali.
NALIA NGWENA the great thinker natoa pongezi kwa kuifunga wydad goli moja kwa mtungi, goli liliofungwa na Jean balleke huku asist ikitoka kwa kibu Denis (drogba wa bongo).
Kidogo ingekuwa furaha kubwa Kama simba angeanzia kwa wydad halafu akapata ushidi alioupata leo hakika ingeleta matumaini kwa mashabiki.
Mashabiki wa Simba wanalazimisha furaha lakini wakikumbuka kuwa watakwenda kwa waydad mioyo yao inachoka kabisa haswa kuona timu yao imepata ushindi mwembamba.
Simba Kuifunga wydad Casablanca goli moja kwa mkapa ni sawa na mtu kumpiga dole tembo , shida ni pale tembo atakapo geuka kwa gadhabu, ndicho kitakacho watokea Simba nyumbani kwa wydad wategemee kuoga magoli si chini ya tatu nakuendelea.
Simba angefunga goli tatu na kuendelea hii ingeleta matumaini kwa mashabiki, lakini goli moja ni wazi huu ni muda wa kukusanya vilago nakurudi nyumbani.
Simba haina uwezo wa kuifunga/ kuzuia magoli nyumbani kwa wydad, huo ndiyo ukweli mengine tunapeana moyo tu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyo mbwiga kigololi kikimshuka lazima aitaje Simba Taifa Kubwa.Nimekaa kimya ila leo ngoja niseme....we jamaa usipoitaja Simba unapata taaabu sana ...embu jifunze kutokuongelea chama la kibabe
Yanga leo mnamanuliwa na wale popoPunguza makasiriko kolombwizo wewe [emoji41]
Simba kupigwa atapigwa tu, hili halina ubishi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aibu naona Mimi kwa huu upumbavu wako [emoji41]Yanga leo mnamanuliwa na wale popo
Sasa unaongelea wydad au raja???utopolo bhn sjui mna nini?
Kongole mtani kwa hicho kidogo ulichokipata pasipo kuwa na tegemezi/matarajio maana hiyo ni zaidi ya kujaribu kujiokoa kutoka kwenye Domo la mamba mwenye njaa Kali.
NALIA NGWENA the great thinker natoa pongezi kwa kuifunga wydad goli moja kwa mtungi, goli liliofungwa na Jean balleke huku asist ikitoka kwa kibu Denis (drogba wa bongo).
Kidogo ingekuwa furaha kubwa Kama simba angeanzia kwa wydad halafu akapata ushidi alioupata leo hakika ingeleta matumaini kwa mashabiki.
Mashabiki wa Simba wanalazimisha furaha lakini wakikumbuka kuwa watakwenda kwa waydad mioyo yao inachoka kabisa haswa kuona timu yao imepata ushindi mwembamba.
Simba Kuifunga wydad Casablanca goli moja kwa mkapa ni sawa na mtu kumpiga dole tembo , shida ni pale tembo atakapo geuka kwa gadhabu, ndicho kitakacho watokea Simba nyumbani kwa wydad wategemee kuoga magoli si chini ya tatu nakuendelea.
Simba angefunga goli tatu na kuendelea hii ingeleta matumaini kwa mashabiki, lakini goli moja ni wazi huu ni muda wa kukusanya vilago nakurudi nyumbani.
Simba haina uwezo wa kuifunga/ kuzuia magoli nyumbani kwa wydad, huo ndiyo ukweli mengine tunapeana moyo tu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile ap
Kabla ya makundi ---- simba mbovu haipati hata point..... watu wakajipigia hesabu wakatoka na pwent zaoNdiyo Imani yako ilivyokutuma, yanga kuwaachia dabi ile ilikua ni akili/maandalizi ya kimataifa tukamkande rivers hautoamini kesho kitakacho mtokea.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa bado unaamini kuwa simba ataifunga wydad nyumbani kwaoKabla ya makundi ---- simba mbovu haipati hata point..... watu wakajipigia hesabu wakatoka na pwent zao
Robo final ---- Simba kapangwa na wydad, haaaaaa wamekwisha, tapigwa nje ndani........ watu haoooooo washajipigia ntu kwa nkapa..... tunasubiria kwao.....
Nilichogundua ni kwamba mashabiki wengi wa yanga wanasumbuliwa na ushamba, shangilia yao ni ya kishamba sana, yani ulimbukeni umewajaa, bado wana ushangiliaji wa kelele, mishipa ya shingo inawasimama..... simba ni wastaarabu, wanashangilia kidoni.... easy yani.... huku tunapiga hesabu ya kituo kinachofuata
Hakuna hata siku moja utapata akili kwenye Hilo fuvu lakoUJINGA NI KIPAJI