Wanasimba wenzangu suala la vyeti vya Mgunda vitufumbue macho

Toka MO alivyoondoka kama Mwenyekiti Simba imekuwa ya hovyo sana
 
Tatizo Simba wanamkumbatia Barbra. Ngoja awashughulikie. kuanzia mgogoro na Manara, morisson na Sasa kushindwa kuajiri kocha wa maana na usajili wa striker huyo yupo Simba kujitangaza na sio kupeleka Simba mbele.
Ifike hatua wanasimba tubebe mabango ya kumkataa Babra na Mo
 
Toka Ligi kuu ianze yapata mwezi Mm Makolo Wameongozwa na Makocha:
Zoran
Matola
Mgunda
Nkoma
Total ni Wa4 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Halafu na tumbo tumbo Mgunda akachuna. Si angesema tu kuwa nami ni kanjanja.
 
Hatimaye ile tamthiliya yetu pendwa ya Mlete Mzungu imeingia episode 2.
 
Toka Ligi kuu ianze yapata mwezi Mm Makolo Wameongozwa na Makocha:
Zoran
Matola
Mgunda
Nkoma
Total ni Wa4 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duuuh
 
Inamaana hamjui kama mgunda ana vyeti?.
 
Wewe ni mtopolo
 
Bora Matola yeye amejikubali tu ni misheni town, lakini Mgunda hatambuliki CAF.

Oneni vituko vya TFF hivi, eti huu ndio ufafanuzi wao, CAF wanatambuwa Leseni na siyo vyeti mnavyopeana uwanja wa Karume Ilala.
Akikaa kwenye benchi kesho utakuja kusema nini tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…