Wanasoka Wanaoongoza kuwa Majeruhi

Wanasoka Wanaoongoza kuwa Majeruhi

Uncle tom

The little Mozart
Hilo jina la Little Mozart...umenikumbusha mbali sana.

Ufundi wa uncle tom ndani ya uwanja alikuwa akifananishwa na mpiga kinanda maarufu wa Uswizi bila shaka.

Laiti asingekuwa na majeraha ya mara kwa mara, wangekuwa na timu moja ya hatari sana. Pata picha Arsenal kwenye kiungo kuna Uncle Tom na Jack Wilshere na Santiago "Santi" Carzola afu nyuma yao kuna Aaron Ramsey "The spin doctor".
 
Phil Jones
Dan Sturridge
Marcos Rojo
Kelvin Strutman
Thomas Rosicky
Jack Wilshere
Kelvin Strootman tulimtakaga nyakati flani kocha akiwa Louis Van Gaal.

Majeraha yakahitimisha kipaji chake maridhawa. Alikuwa akiitwa "The Dutch Roy Keane"

Kwasasa yupo zake huko Marseille wala hana tena uwezo ule wa awali na umri pia umeanza kumtupa mkono.
 
Hilo jina la Little Mozart...umenikumbusha mbali sana.

Ufundi wa uncle tom ndani ya uwanja alikuwa akifananishwa na mpiga kinanda maarufu wa Uswizi bila shaka.

Laiti asingekuwa na majeraha ya mara kwa mara, wangekuwa na timu moja ya hatari sana. Pata picha Arsenal kwenye kiungo kuna Uncle Tom na Jack Wilshere na Santiago "Santi" Carzola afu nyuma yao kuna Aaron Ramsey "The spin doctor".
Hapo ni hatari mnooo mzee mwenzangu.
 
Kelvin Strootman tulimtakaga nyakati flani kocha akiwa Louis Van Gaal.

Majeraha yakahitimisha kipaji chake maridhawa. Alikuwa akiitwa "The Dutch Roy Keane"

Kwasasa yupo zake huko Marseille wala hana tena uwezo ule wa awali na umri pia umeanza kumtupa mkono.
Hii ilikuwa ni moja kati ya wachezaji niwazimiao zaidi, ndio hivyo tena majeruhi yakafanya yake.
 
Oxlade chberlain, abou diaby, ousmane dembele, adam lallana, santi cazorla, SHOMARI KAPOMBE
 
Gaucho ni mtoto mbona kwa messi! Mwenyewe amekiri kwa mdomo wake " I knew leonel Messi was a better player than me" mimi na wewe nani mpaka tubishe!
Labda kwa records lakini Mpira wa gaucho ule wa kimaajabu aisee.Tofauti yao ni Seriousness tu.Messi is more serious ndio maana ana records nzuri zaidi.Nasubiri Mungu amuumbe gaucho mwingine.
 
Fact file: Eric Bailly
A professional hospital patient whose career has been massively interrupted by football.
Ila kwa uchezaji wake ule ni halali yake kupata majeruhi ya Mara kwa mara.Ni kama Phil Jones.Miguvu miiingi
 
Back
Top Bottom