Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo hajui kuna Michael Owen na Owen HargreavesOwen Hargreaves alicheza World cup moja tu tena ni ile ya 2006 iliyofanyika Ujerumani.
Hilo jina la Little Mozart...umenikumbusha mbali sana.Uncle tom
The little Mozart
Kelvin Strootman tulimtakaga nyakati flani kocha akiwa Louis Van Gaal.Phil Jones
Dan Sturridge
Marcos Rojo
Kelvin Strutman
Thomas Rosicky
Jack Wilshere
Diaby au WilshereYule wa arsenal jina lake nani?[emoji3]
Uko serious kabisa nawewe unaamini nimechanganya majina?Huyo hajui kuna Michael Owen na Owen Hargreaves
Hapo ni hatari mnooo mzee mwenzangu.Hilo jina la Little Mozart...umenikumbusha mbali sana.
Ufundi wa uncle tom ndani ya uwanja alikuwa akifananishwa na mpiga kinanda maarufu wa Uswizi bila shaka.
Laiti asingekuwa na majeraha ya mara kwa mara, wangekuwa na timu moja ya hatari sana. Pata picha Arsenal kwenye kiungo kuna Uncle Tom na Jack Wilshere na Santiago "Santi" Carzola afu nyuma yao kuna Aaron Ramsey "The spin doctor".
Hii ilikuwa ni moja kati ya wachezaji niwazimiao zaidi, ndio hivyo tena majeruhi yakafanya yake.Kelvin Strootman tulimtakaga nyakati flani kocha akiwa Louis Van Gaal.
Majeraha yakahitimisha kipaji chake maridhawa. Alikuwa akiitwa "The Dutch Roy Keane"
Kwasasa yupo zake huko Marseille wala hana tena uwezo ule wa awali na umri pia umeanza kumtupa mkono.
Sebastian DeislerMajeruhi sumu saana yamefanya tusifaidi saana vipaji maridhawa vya hawa mafundi wachache
Santi cazorla
Marco reus
Abou diaby
Jack wilshere
Marc van basten..
Labda kwa records lakini Mpira wa gaucho ule wa kimaajabu aisee.Tofauti yao ni Seriousness tu.Messi is more serious ndio maana ana records nzuri zaidi.Nasubiri Mungu amuumbe gaucho mwingine.Gaucho ni mtoto mbona kwa messi! Mwenyewe amekiri kwa mdomo wake " I knew leonel Messi was a better player than me" mimi na wewe nani mpaka tubishe!
Uncle tom
The little Mozart
Ila kwa uchezaji wake ule ni halali yake kupata majeruhi ya Mara kwa mara.Ni kama Phil Jones.Miguvu miiingiFact file: Eric Bailly
A professional hospital patient whose career has been massively interrupted by football.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Jamaa alikuwa anatumia nguvu nyingi badala ya akili hayo ndo madhara yake.
Salim Mbonde