Inatemegea na katika kipindi hicho tuna jiko lipi store, lakini suala la msingi sio jiko aina gani ila ni jiko la sahani mbili ambalo ni bora kabisa. Hayo makato tuliyoyaelezea kuna kiwango kikifika jiko linakuwa mali yako na hutakatwa tenaJiko la plate 2 kwa 30000 ni aina gani ya jiko?? Hujajibu swali langu je nakuwa navimiliki moja kwa moja au ni vyenu mnaniazima tuu??
Sent using Jamii Forums mobile app
okay nipatie jibu ili mtu ajue ametumia gesi sawa sawa na mtungi uliojaa ule mtungi wenu mdogo ni bei gan ukijaa woteHabari, mtungi tayari una gesi ila huwezi kutumia bila kuwa na salio kwenye kadi yako na inaisha kadri unavyonunua na kutumia ndivyo inavyoisha. Gesi ikikaribia kuisha tunaiona na tunakuletea mtungi mwingine bure bila malipo ya ziada.
Uzuri mwingine ni kuwa mita yako inakuonesha matumizi ya hela yako kadri unavyotumiaokay nipatie jibu ili mtu ajue ametumia gesi sawa sawa na mtungi uliojaa ule mtungi wenu mdogo ni bei gan ukijaa wote
Nataka hyo Kaz ndug npe muongozo kampun IPO wapHabari,
M Gas ni kampuni inayojishughulisha na kuuza gesi ya kupikia majumbani. Kupitia M Gas mteja anapata unafuu wa kununua gesi kidogo kidogo iliyopo ndani ya mtungi kuanzia Sh 1000 na kuendelea kwa mfumo unaofanana na LUKU etc.
Mteja anaetaka kujisajili na M Gas (kwa bei iliyopo sasa hivi mpaka andiko hili lipo hewani) ataoa kiasi cha Sh 40,000 na atapatiwa mtungi na jiko la sahani mbili pamoja na salio la gesi kwenye kadi yake la Sh 5,000. Au atatoa Sh 20,000 kama tayari ana jiko lake na atapewa mtungi na salio la Sh 15,000. Huduma hii ni kwa wakazi wa Dar es Salaam pekee na usafiri ni bure.
Kama unahitaji huduma zetu tupigie 0713748763.
Kama unahitaji fursa ya kazi ya mauzo tupigie 0683977897.
View attachment 2433337
Makato ni mengi sana yapi? zaidi ya hayo ya Sh 200 kwa kila Sh 1000?. Au hujaelewa. Faida za M Gas tumezieleza vizuri kwenye mada kuuKwahiyo faida ya kutumia mgas ni ipi?mana naona makato mengi sana...mara dhamana mara 150 kwa kila 1k.
#MaendeleoHayanaChama
tumetoa muongozo hapoNataka hyo Kaz ndug npe muongozo kampun IPO wap
Lengo la biashara yao sio wewe umiliki mtungi bali niwewe upate gas kwa malipo nafuu kama unataka jiko na mtungi kwa bei halisi nenda dukani kanunue .... kwa hawa kuna mawili either kutakua kuna kipindi ambacho ukimaliza mkataba... mtungi na jiko vitakua mali yako au mbili kamwe havitakaa viwe mali yako..Vyote navimiliki moja kwa moja kwa 40000 au kuna mengine hujaelezea??
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya muda jiko linakuwa mali ya mteja, inategemea na speed ya mteja kununua gesi. mtungi siku zote ni mali ya kampuni isipokuwa kuna vimakato kidogo ambavyo siku ukisitisha mkataba na sisi unarudishiwaLengo la biashara yao sio wewe umiliki mtungi bali niwewe upate gas kwa malipo nafuu kama unataka jiko na mtungi kwa bei halisi nenda dukani kanunue .... kwa hawa kuna mawili either kutakua kuna kipindi ambacho ukimaliza mkataba... mtungi na jiko vitakua mali yako au mbili kamwe havitakaa viwe mali yako..
Kweli unategemea humu ujibiwe kuwa unalipwaje?. Namba za simu zimetolewa na mtu mwenye kuhitaji kweli atapiga, sio kila kitu kinakuwa published. Jifunze hiloHili ni jukwaa la ajira watu wa kutafuta ajira tumejaa humu lakini nashangaa haizungumziwi upande wa ajira wanalipaje na inakuwaje, nimeona mdau ameuliza mshahara upoje lakini pia hajajibiwa.
Samahani mkuu, mteja atalipia 40,000 anakabidhiwa mtungi, jiko na salio la gas kwa kadi 5,000.Habari,
M Gas ni kampuni inayojishughulisha na kuuza gesi ya kupikia majumbani. Kupitia M Gas mteja anapata unafuu wa kununua gesi kidogo kidogo iliyopo ndani ya mtungi kuanzia Sh 1000 na kuendelea kwa mfumo unaofanana na LUKU etc.
Mteja anaetaka kujisajili na M Gas (kwa bei iliyopo sasa hivi mpaka andiko hili lipo hewani) ataoa kiasi cha Sh 40,000 na atapatiwa mtungi na jiko la sahani mbili pamoja na salio la gesi kwenye kadi yake la Sh 5,000. Au atatoa Sh 20,000 kama tayari ana jiko lake na atapewa mtungi na salio la Sh 15,000. Huduma hii ni kwa wakazi wa Dar es Salaam pekee na usafiri ni bure.
Kama unahitaji huduma zetu tupigie 0713748763.
Kama unahitaji fursa ya kazi ya mauzo tupigie 0683977897.
View attachment 2433337
Habari, kupitia mita zinazofungwa juu ya mtungi mteja ataweza kuona salio lake moja kwa moja na kwa jinsia anavyopikia ataona linavyopungua, pili mteja atafanya malipo kupitia njia ya Tigo Pesa, Airtel Money au M Pesa kwa kuweka namba ya kampuni na kumbukumbu namba kama zilivyoainishwa kwenye kadi na kisha ataweka kiasi kitakachofuatishwa na namba ya siri. Ujazo wa buku unakaribia kiasi cha robo kilo ya gesiSamahani mkuu, mteja atalipia 40,000 anakabidhiwa mtungi, jiko na salio la gas kwa kadi 5,000.
Swali; mteja anafatilia vp matumizi ya ilo salio..
Ananunua vp salio jingine..
Pia tufafanulie hapo ujazo wa buku mnampimiaje mteja?
ndio, tena mtu kama huyu ni nafuu zaidi kwake. kwa maana pale atakapojisikia kupika ndipo analazimika kuweka salioOk! Je kwa mtu ambae hapiki mara kwa mara..let’s say anajaza huo mtungi but kuumaliza inachukua miezi miwili! Mnashauri mtu kama huyu achukue mtungi wenu?
Duuu imekaa kiutaalam sana, kwaiyo hili salio likiisha na gesi haitoki automatically hadi utapo nunuaHabari, kupitia mita zinazofungwa juu ya mtungi mteja ataweza kuona salio lake moja kwa moja na kwa jinsia anavyopikia ataona linavyopungua, pili mteja atafanya malipo kupitia njia ya Tigo Pesa, Airtel Money au M Pesa kwa kuweka namba ya kampuni na kumbukumbu namba kama zilivyoainishwa kwenye kadi na kisha ataweka kiasi kitakachofuatishwa na namba ya siri. Ujazo wa buku unakaribia kiasi cha robo kilo ya gesi
Huo mtungi ukiisha gesi inakuaje..inajijaza automatic ama mnaleta mtungi mwingine.??Habari, kupitia mita zinazofungwa juu ya mtungi mteja ataweza kuona salio lake moja kwa moja na kwa jinsia anavyopikia ataona linavyopungua, pili mteja atafanya malipo kupitia njia ya Tigo Pesa, Airtel Money au M Pesa kwa kuweka namba ya kampuni na kumbukumbu namba kama zilivyoainishwa kwenye kadi na kisha ataweka kiasi kitakachofuatishwa na namba ya siri. Ujazo wa buku unakaribia kiasi cha robo kilo ya gesi
Ndio boss, kama Luku vile. umeme upo kwenye line lakini usiponunua huwezi kutumiaDuuu imekaa kiutaalam sana, kwaiyo hili salio likiisha na gesi haitoki automatically hadi utapo nunua