- Thread starter
- #41
Asante kwa swali lako zuri. Teknolojia yetu inaruhusu kuona matumizi yako na kiasi cha gesi kilichosalia kwenye mtungi wako. Hiyo imetupa unafuu wa sisi tuweka "alert" / "Notification On" au alarm pindi gesi napokaribia kuisha. Ikifika hatua hiyo fundi wetu mara moja atafika kwako na KUKUBADILISHIA MTUNGI uliosalia na gesi kidogo na kukuwekea uliojaa gesi. Mchakato huo hauathiri kwa vyovyote salio ulilonalo kwenye kadi yako ya M-GasHuo mtungi ukiisha gesi inakuaje..inajijaza automatic ama mnaleta mtungi mwingine.??
#MaendeleoHayanaChama