Wanatubembeleza sana tukapige kura kuwachagua. Tukishawachagua wanatupiga.

Wanatubembeleza sana tukapige kura kuwachagua. Tukishawachagua wanatupiga.

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,833
Reaction score
8,777
Viongozi wa kisiasa wa Tanzania ni wema sana kablana wakati wa kampeni na kupiga kura,hua wanatubembeleza sana tuende tukapige kura za kuwachagua,lakini mara tu tukishawachaguaa thamanj yetu inaisha,wanatugeuka,wanabadilika wanakua wakali,wanatutukana,wanatuteka,wanatupiga na kutuua.
Hatuwezi kuwashauri kitu,hawatusikilizi kabisa na hawataki kutuongoza vile tunavyotaka sisi Bali vile wanavyotaka wao.

Hali hii ndio ipo Tanzania.
 
Back
Top Bottom