JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Nimeangalia mwenendo wa Utawala huu uliopo naona kabisa Rais hana hiana na Mtu na wala hana shida na Mtu. Wana hana hiana na Team Hayati Magufuli.
Nime kuja kugundua vitu viwili tu ambvyo vinarudisha nyuma imani ya wananchi kwa serikali ya awamu ya Sita. Naviorodhesha hapa chini afu nitafafanua siku nyingine.
1. Rais ameruhusu watu waliokuwa na chuki na Hayati JPM kuingia Serikalini na kuruhusu watu haohao kuendelea kukandia awamu iliyopita bila kujali matoke yake.
2. Wana nchi bado wana majonzi ya kuondokewa na Rais Wao. Imani yao ingebaki kuwa salama kama Rais angesafiri na Serikali ile ile kwa mda fulani hadi majonzi yaishe/yapungue.
Matokeo yake.
1. Rais anakosa kuaminiwa na watu wa chini na walio wengi.
2. Wafuasi wa Hayati JPM hawataki tena kushirikiana na viongozi waliowekwa na Rais. Mfano Makamba Jr.
3. Chuki zidi ya Rais inazidi kushamili huku mtaani.
4. Kasi ya utendaji kazi inashuka na miradi kutokamilika kwa wakati.
Pamoja na Mambo mazuri kabisa anayoyafanya Rais bado wananchi hawajamuelewa. Mfano Rais ameshaenda Kanda ya ziwa mara tatu na zaidi na kuzindua miradi mingi mno lakini ukweli kwa kwamba watu bado hawajamuelewa.
Suluhisho.
Rais awe makini sana na watu wanao kandika utawaala wa mtu aliye kwisha kuaga dunia.
Rais ateuwe watu wanao weza kumsaidia kazi hususani watu wapya na wenye ujuzi: Aachane na majina yaleyale yenye makando kando.