PRO LATE,AKILI YAO UKIITAFAKARI INASTAAJABISHA SANA,WANAJUA THE LATE ALIACHA MIRADI MIZITO KWELI NA ILIACHWA IKIWA HAIKUFIKIA HATA 40%,NARUDIA TENA MIRADI MIZITO ,AMBAYO INATAKIWA KUKAMILISHWA ALHAMDU LILAH MAMA ANAIPELEKA VIZURI SANA BILA KUTESA WATU WALA KUUMIZA WATU,ISPOKUWA KWA KUTUMIA VYANZO VYA NDANI NA NA KIASI KIDOGO IKIWA NI MIKOPO NAFUU ALIMRADI MIRADI IENDE NA MENGINE YA KIMAENDELEO YASOGEE
sijui chuki zinatoka wapi,rais anapigana kweli kweli.
Mulaaniwe.
Sio kwa matungulile, wala ndulele mekoni
Si kama kinjekitile, unga na maji ya mtoni
Ni kwa hilo jasho tele, Damu tabu za maskini
Nasema Mulaaniwe huu wimbo mpya mjini
Mkata mkato umemkata, kwenye simuni maskini
Wamdumishia ukata , yala! ni hospitalini
Haitoshi kutibika, akatutoka jamani
Nasema Mulaaniwe, mulaaniwe milele
Mtwana pamoja watwana , wakike tumwite nani
Kabisa tunalandana , jasho letu vietini
Bado twa beba mabwana, da! tupo utumwani
Mulaaniwe kwa jasho, mulaaniwe milele
Mapasipoti shidani, garama nao mlolongo
Fursa za ugaibuni, mnatufelisha wabongo
Tumewakosea nini, mwatupiga na magongo
Nasema mulaaniwe, na vizazi vyenu vyote