Wanatulazimisha kuendelea kumkumbuka Hayati Magufuli

Umeandika ujinga!! watu wasingekuwa na Imani nae wasingemlilia kiasi hicho kwenye msiba wake, jaribu kushirikisha ubongo kabla ya kuandika.
Hata majambazi huwa kuna watu wanawalilia wakifa. Mbona walikuwa wanazuia waliokuwa wanashangilia?
 
Mlishajimaliza siku makengeza alipobadili gia angani. Tuko tayari kuongozwa na CCM milele siyo kuyapa nchi majitu yasiyojitambua na yanawaza ukabila saa 24. Pole sana endelea kuota ndoto za mchana.
Hizo enzi za ccm kushinda zaidi ya 50% zimeshipita. Hiki sio kizazi cha hicho chama cha kizee. Ule ushenzi, ukatili na uhayawani wa wazi haukuwa unafanyika kwa bahati mbaya, bali zama zimebadilika. Hivyo namna pekee ya ccm kushinda kwa sasa ni kupora uchaguzi, ili iendelee kukaa madarakani kwa shuruti. Hutaki jinyonge.
 
Mlishajimaliza siku makengeza alipobadili gia angani. Tuko tayari kuongozwa na CCM milele siyo kuyapa nchi majitu yasiyojitambua na yanawaza ukabila saa 24. Pole sana endelea kuota ndoto za mchana.

Alibadili gia angani na wala hahitaji kura yako. Huyo aliyempa nafasi karejea ccm. Mimi nilidhani kampa nafasi mmarekani kumbe mtanzania. Ww na mumeo ndio mnataka kuendelea kutawala na ccm. Hakuna aliyetawala nchi hii bila kuwa na kabila. Na kwa taarifa yako hakuna anayehitaji kura yako ww na hilo kabila lenu.
 
Ww ndio wanakulazimisha ila usiseme wanatulazimisha na akina nani pumba tu
 
Nani alikuwa na imani na huyo Magufuli, kama watu walikuwa na imani naye tusingeona chaguzi za kishenzi na kihayawani vile kipindi chake, ili ccm watangazwe washindi kwa shuruti. Msidhani hizi propaganda zenu mfu tutashindwa kuujua ukweli ni upi. Au kwakuwa kipindi chake alijenga hofu kwa vyombo vya habari, na vyote kubaki vinamsifia ndio hatujui ukweli? Angekubali ushindani wa kweli kwenye box la kura ndio ungejua ukweli wa kiwango alichokuwa anakubalika. Hawa wanaorudishwa madarakani sasa wanaujua ukweli kuwa huyo JPM alikuwa anakubalika kiasi gani, na kwenye uchaguzi alipata kura kiasi gani. Usidhani wao ni wajinga wa hivyo.
Rejea mazishi yake, watu walikua nyomi Hadi kukanyagana Hadi vifo ikitokea.
 
Hata majambazi huwa kuna watu wanawalilia wakifa. Mbona walikuwa wanazuia waliokuwa wanashangilia?
Kweli ww Tindo upinzani hawawezi toboa uchaguzi miaka na mikaka Ccm kutoka madarakan mpka wana ccm wenyewe waamue ila si akina mbowe na Lissu warafi na wachumia tumbo hao mkuu wasikuchanganye fanya kazi zako watoto wapate kwenda haja mengine watching TV [emoji342]
 
Nimeangalia mwenendo wa Utawala huu uliopo naona kabisa Rais hana hiana na Mtu na wala hana shida na Mtu. Wana hana hiana na Team Hayati Magufuli.

Nime kuja kugundua vitu viwili tu ambvyo vinarudisha nyuma imani ya wananchi kwa serikali ya awamu ya Sita. Naviorodhesha hapa chini afu nitafafanua siku nyingine.

1. Rais ameruhusu watu waliokuwa na chuki na Hayati JPM kuingia Serikalini na kuruhusu watu haohao kuendelea kukandia awamu iliyopita bila kujali matoke yake.

2. Wana nchi bado wana majonzi ya kuondokewa na Rais Wao. Imani yao ingebaki kuwa salama kama Rais angesafiri na Serikali ile ile kwa mda fulani hadi majonzi yaishe/yapungue.

Matokeo yake.

1. Rais anakosa kuaminiwa na watu wa chini na walio wengi.
2. Wafuasi wa Hayati JPM hawataki tena kushirikiana na viongozi waliowekwa na Rais. Mfano Makamba Jr.
3. Chuki zidi ya Rais inazidi kushamili huku mtaani.
4. Kasi ya utendaji kazi inashuka na miradi kutokamilika kwa wakati.

Pamoja na Mambo mazuri kabisa anayoyafanya Rais bado wananchi hawajamuelewa. Mfano Rais ameshaenda Kanda ya ziwa mara tatu na zaidi na kuzindua miradi mingi mno lakini ukweli kwa kwamba watu bado hawajamuelewa.

Suluhisho.

Rais awe makini sana na watu wanao kandika utawaala wa mtu aliye kwisha kuaga dunia.
Rais ateuwe watu wanao weza kumsaidia kazi hususani watu wapya na wenye ujuzi: Aachane na majina yaleyale yenye makando kando.
Wananchi gani hao wenye machungu? Uchungu wako binafsi usiufanye wa wananchi wote nchi hii.
 
Nani alikuwa na imani na huyo Magufuli, kama watu walikuwa na imani naye tusingeona chaguzi za kishenzi na kihayawani vile kipindi chake, ili ccm watangazwe washindi kwa shuruti. Msidhani hizi propaganda zenu mfu tutashindwa kuujua ukweli ni upi. Au kwakuwa kipindi chake alijenga hofu kwa vyombo vya habari, na vyote kubaki vinamsifia ndio hatujui ukweli? Angekubali ushindani wa kweli kwenye box la kura ndio ungejua ukweli wa kiwango alichokuwa anakubalika. Hawa wanaorudishwa madarakani sasa wanaujua ukweli kuwa huyo JPM alikuwa anakubalika kiasi gani, na kwenye uchaguzi alipata kura kiasi gani. Usidhani wao ni wajinga wa hivyo.
Ili uwe uchaguzi wa haki ni lazima chadema mshinde?

[emoji23][emoji23][emoji23]Haya dhalimu wako kafa, sasa mbona huendi kushiriki chaguzi ndogo zinazotangazwa?
 
Watu wa Kanda ya ziwa Wana umuhimu gani? Acheni kujikweza. Wamuelewe ama wasimuelewe jiwe kishaenda jehanamu acha apambane na hali yake.

Samia hapendwi lkn jiwe hapendwi zaidi
Siasa za nchi hii kama unazijua vizuri ziko kanda ya Ziwa.

Katika nchi hii tunakoelekea kanda ya ziwa lazima ipewe kipa umbele tu upende usipende.

Ukita kujua angalia tangu Magufuli afariki, Mbowe ameshaenda kanda gani mara nyingi kuliko zote?. Samia na Mpango na Majaliwa wameenda kanda ipi mara nyingi kuliko nyingine?
 
Nani alikuwa na imani na huyo Magufuli, kama watu walikuwa na imani naye tusingeona chaguzi za kishenzi na kihayawani vile kipindi chake, ili ccm watangazwe washindi kwa shuruti. Msidhani hizi propaganda zenu mfu tutashindwa kuujua ukweli ni upi. Au kwakuwa kipindi chake alijenga hofu kwa vyombo vya habari, na vyote kubaki vinamsifia ndio hatujui ukweli? Angekubali ushindani wa kweli kwenye box la kura ndio ungejua ukweli wa kiwango alichokuwa anakubalika. Hawa wanaorudishwa madarakani sasa wanaujua ukweli kuwa huyo JPM alikuwa anakubalika kiasi gani, na kwenye uchaguzi alipata kura kiasi gani. Usidhani wao ni wajinga wa hivyo.
Unaandika kwa hofu kwa sababu unajua ukweli.

Povu jingi mno hapa.

JPM anabaki kuwa kwenye historia ya kizazi hiki kwa miaka ijayo.
 
Nimeangalia mwenendo wa Utawala huu uliopo naona kabisa Rais hana hiana na Mtu na wala hana shida na Mtu. Wana hana hiana na Team Hayati Magufuli.

Nime kuja kugundua vitu viwili tu ambvyo vinarudisha nyuma imani ya wananchi kwa serikali ya awamu ya Sita. Naviorodhesha hapa chini afu nitafafanua siku nyingine.

1. Rais ameruhusu watu waliokuwa na chuki na Hayati JPM kuingia Serikalini na kuruhusu watu haohao kuendelea kukandia awamu iliyopita bila kujali matoke yake.

2. Wana nchi bado wana majonzi ya kuondokewa na Rais Wao. Imani yao ingebaki kuwa salama kama Rais angesafiri na Serikali ile ile kwa mda fulani hadi majonzi yaishe/yapungue.

Matokeo yake.

1. Rais anakosa kuaminiwa na watu wa chini na walio wengi.
2. Wafuasi wa Hayati JPM hawataki tena kushirikiana na viongozi waliowekwa na Rais. Mfano Makamba Jr.
3. Chuki zidi ya Rais inazidi kushamili huku mtaani.
4. Kasi ya utendaji kazi inashuka na miradi kutokamilika kwa wakati.

Pamoja na Mambo mazuri kabisa anayoyafanya Rais bado wananchi hawajamuelewa. Mfano Rais ameshaenda Kanda ya ziwa mara tatu na zaidi na kuzindua miradi mingi mno lakini ukweli kwa kwamba watu bado hawajamuelewa.

Suluhisho.

Rais awe makini sana na watu wanao kandika utawaala wa mtu aliye kwisha kuaga dunia.
Rais ateuwe watu wanao weza kumsaidia kazi hususani watu wapya na wenye ujuzi: Aachane na majina yaleyale yenye makando kando.
anaitwa takataka
 
PRO LATE,AKILI YAO UKIITAFAKARI INASTAAJABISHA SANA,WANAJUA THE LATE ALIACHA MIRADI MIZITO KWELI NA ILIACHWA IKIWA HAIKUFIKIA HATA 40%,NARUDIA TENA MIRADI MIZITO ,AMBAYO INATAKIWA KUKAMILISHWA ALHAMDU LILAH MAMA ANAIPELEKA VIZURI SANA BILA KUTESA WATU WALA KUUMIZA WATU,ISPOKUWA KWA KUTUMIA VYANZO VYA NDANI NA NA KIASI KIDOGO IKIWA NI MIKOPO NAFUU ALIMRADI MIRADI IENDE NA MENGINE YA KIMAENDELEO YASOGEE
sijui chuki zinatoka wapi,rais anapigana kweli kweli.
Soma vizuri tena.

Samia uko vizuri.

Naamni hapa umeandika mawazo yako yasio na uhusiano na uzi wangu.
 
Ili uwe uchaguzi wa haki ni lazima chadema mshinde?

[emoji23][emoji23][emoji23]Haya dhalimu wako kafa, sasa mbona huendi kushiriki chaguzi ndogo zinazotangazwa?
Usitake kuleta upotoshaji wa kijinga, hakuna popote ninapotaka cdm washinde ndio uchaguzi uwe huru. Ninataka mshindi apatikane kihalali, sina tatizo nani anashinda kihalali.

Dhalimu ndio kupandikiza ukhanithi kwenye chaguzi zetu, hivyo tunataka ukhanithi wote uondoke ndio tushiriki, kinyume na hapo goli liko wazi hilo fungeni mshangilie.
 
Unaandika kwa hofu kwa sababu unajua ukweli.

Povu jingi mno hapa.

JPM anabaki kuwa kwenye historia ya kizazi hiki kwa miaka ijayo.

Anabaki kwenye historia ya viongozi waliokuwa wakiteka watu kupitia kundi lake la watu wasiojulikana. Na anakumbukwa sana na watu wenye bureau de change kwa jinsi alivyowatunzia pesa zao.
 
Kwa vyoyote vile.

Ndiyo maana tukitaja tu jina la Magufuli.. Mapepo yana kuvuruga. Povu kama lote.

Umechagua kuumia kila wakati. hahah.
 
Back
Top Bottom