Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina umuhimu hii tuWatu wa Kanda ya ziwa Wana umuhimu gani? Acheni kujikweza. Wamuelewe ama wasimuelewe jiwe kishaenda jehanamu acha apambane na hali yake.
Samia hapendwi lkn jiwe hapendwi zaidi
Awali mlifikri mambo hayatakuwa hadharani!Sukumagang wanaumia sana maana hata umeme na maji mgao kumbe walidanganywa....wacha waisome namba na wakamlilie marehemu wao vizuri.
Sukumagang wanakomolewa live bila chenga maana walizoea kusifia Sasa ndio kazi zinafanyika bila mbwembwe.Awali mlifikri mambo hayatakuwa hadharani!
Sasa hivi vilio vya uhaba wa maji na umeme ni kila kona toka mitaa ya ufipa hadi moshi huko.
Na hapo wanaokomolewa ni sukuma gang
Kabisa!Sukumagang wanakomolewa live bila chenga maana walizoea kusifia Sasa ndio kazi zinafanyika bila mbwembwe.
Msiba sio kigezo kizuri cha mtu kupendwa. Unafiki hukithiri kwenye msiba hasa wa kiongozi mkuu. Uongo, propaganda, jazba (emotions), kujionyesha, kujikomba, hata ujinga tu n.k. ndio mahali pake.Umeandika ujinga!! watu wasingekuwa na Imani nae wasingemlilia kiasi hicho kwenye msiba wake, jaribu kushirikisha ubongo kabla ya kuandika.
Chagagang wao wanaupiga mwingi awamu hii...Kabisa!
.
Nasikia hata huku kukatika kwa umeme na maji ni ili kuwakomoa sukuma gang!
Mabavicha na michaga gang yenyewe hayaguswi kabisa, kwao umeme na maji ni full 24hrs
Ukada unakufanya uwe mjinnga.Nani alikuwa na imani na huyo Magufuli, kama watu walikuwa na imani naye tusingeona chaguzi za kishenzi na kihayawani vile kipindi chake, ili ccm watangazwe washindi kwa shuruti. Msidhani hizi propaganda zenu mfu tutashindwa kuujua ukweli ni upi. Au kwakuwa kipindi chake alijenga hofu kwa vyombo vya habari, na vyote kubaki vinamsifia ndio hatujui ukweli? Angekubali ushindani wa kweli kwenye box la kura ndio ungejua ukweli wa kiwango alichokuwa anakubalika. Hawa wanaorudishwa madarakani sasa wanaujua ukweli kuwa huyo JPM alikuwa anakubalika kiasi gani, na kwenye uchaguzi alipata kura kiasi gani. Usidhani wao ni wajinga wa hivyo.
Yaani hiyo CHADEMA bado una matumaini nayo ? Pole sana. Hicho chama kilishajifia bado mzimu tuKanda ya ziwa ina population kubwa kuliko kanda zote nchini. Huyu mama anapoelekea atakosa hiyo support, vyama vya upinzani waanze kujipenyeza hiyo kanda. Kama Chadema inataka kuingia huko ianze kuwapa vyeo watu wa kanda ya ziwa wenye ushawishi kwenye chama waone matokeo yake.
Wanasema ameshawishiwa na retired one, so kukosa kuaminiwa kwake kutatokana na kukubali ushauri pasipo kuufanyia utafiti au kuuliza kwa ushauri mwingine dhidi ya ushauri aliopewa.Kwanza nikopongeze kwa andiko lako lisilo na mhemko ulichoandika ni ukweli kwa 100% .mama alikosea sena kuwarudisha watu wale wale wenye makando kando na hapo ndo anakosa kuaminiwa na walio wengi .
Mambo yalivyokaa sasa kinaweza kikafufuka au chama kingine kikachukua nafasi yao.Yaani hiyo CHADEMA bado una matumaini nayo ? Pole sana. Hicho chama kilishajifia bado mzimu tu
Kweli kwa akili yako ndogo,Lissu angaweza kumshinda Magufuri?hata kama ccm ilikuwa haipendwi hakuna mpinzani yeyote angasimama na Magufuri akamshinda, acheni kujifariji jengeni vyama vyenu,acheni kusingizia Magufuri wakati vyama vyenu vilikuwa vimeisha jifia tokea 2015,akina Mbowe na Lipumba walipokubali kununuliwa na wanaccm akina Lowassa, Gwajima akiwa mshenga,anguko la upinzani lilianzia hapo.
Kama ni kweli hata na wewe walikukosa tu, watu km nyie mnaokwamisha maendeleo ya nchi niwakupoteza tu…watu wako serious na kazi nyie mnatoa mapovu kuwaua nguvu wasiendelee kupambania nchi..kufa utakufa tu km kwa malaria au mtutu kifo ni kifo hakuna kuwahi wala kuchelewa hata swala anakufa kila siku Mikumi…
Uliza ujerumani na China ilikufika pale wangapi walipotea…
Hoja haikuwa kwamba alikuwa anapendwa na wote kiasi kwamba wasiwepo wanaomchukia, issue ni kwamba kwa jinsi mlivyokuwa mnasemaga tulidhani hana watu wengi wanaompenda kiasi kile.
Yaani hiyo CHADEMA bado una matumaini nayo ? Pole sana. Hicho chama kilishajifia bado mzimu tu
Asilimia kubwa hao wasiomkubali wapo mitandaoni ndio wakina nyie ambao hata kuandamana hamuwezi kwa sababu mpo mitandaoni, kwahiyo nyie huwa ni watu kutafuta visababu tu hapo utasema watu walizuiliwa kushangilia ndio maana hamkuonekana wengi na msipotokeaga kwenye maandamano pia mnasema ni kwa sababu polisi walizuia.Ndio maana tulitaka wale walioshangilia wasikamatwe ili tupime na wasiomkubali.
Sema kilichobadilika ni kipi na sio kuishia kusema hiki ni kizazi kingine wakati watu hurithishana kizazi kwa kizazi, sasa hiki kizazi cha kuomba connection ndio kina kipi jipya?Hayo ndio matamanio yako, ila kwa bahati mbaya hiki ni kizazi kingine.