Wanatulazimisha kuendelea kumkumbuka Hayati Magufuli

Umeandika ujinga!! watu wasingekuwa na Imani nae wasingemlilia kiasi hicho kwenye msiba wake, jaribu kushirikisha ubongo kabla ya kuandika.
Hata majambazi huwa kuna watu wanawalilia wakifa. Mbona walikuwa wanazuia waliokuwa wanashangilia?
 
Mlishajimaliza siku makengeza alipobadili gia angani. Tuko tayari kuongozwa na CCM milele siyo kuyapa nchi majitu yasiyojitambua na yanawaza ukabila saa 24. Pole sana endelea kuota ndoto za mchana.
 
Mlishajimaliza siku makengeza alipobadili gia angani. Tuko tayari kuongozwa na CCM milele siyo kuyapa nchi majitu yasiyojitambua na yanawaza ukabila saa 24. Pole sana endelea kuota ndoto za mchana.

Alibadili gia angani na wala hahitaji kura yako. Huyo aliyempa nafasi karejea ccm. Mimi nilidhani kampa nafasi mmarekani kumbe mtanzania. Ww na mumeo ndio mnataka kuendelea kutawala na ccm. Hakuna aliyetawala nchi hii bila kuwa na kabila. Na kwa taarifa yako hakuna anayehitaji kura yako ww na hilo kabila lenu.
 
Ww ndio wanakulazimisha ila usiseme wanatulazimisha na akina nani pumba tu
 
Rejea mazishi yake, watu walikua nyomi Hadi kukanyagana Hadi vifo ikitokea.
 
Hata majambazi huwa kuna watu wanawalilia wakifa. Mbona walikuwa wanazuia waliokuwa wanashangilia?
Kweli ww Tindo upinzani hawawezi toboa uchaguzi miaka na mikaka Ccm kutoka madarakan mpka wana ccm wenyewe waamue ila si akina mbowe na Lissu warafi na wachumia tumbo hao mkuu wasikuchanganye fanya kazi zako watoto wapate kwenda haja mengine watching TV [emoji342]
 
Wananchi gani hao wenye machungu? Uchungu wako binafsi usiufanye wa wananchi wote nchi hii.
 
Ili uwe uchaguzi wa haki ni lazima chadema mshinde?

[emoji23][emoji23][emoji23]Haya dhalimu wako kafa, sasa mbona huendi kushiriki chaguzi ndogo zinazotangazwa?
 
Watu wa Kanda ya ziwa Wana umuhimu gani? Acheni kujikweza. Wamuelewe ama wasimuelewe jiwe kishaenda jehanamu acha apambane na hali yake.

Samia hapendwi lkn jiwe hapendwi zaidi
Siasa za nchi hii kama unazijua vizuri ziko kanda ya Ziwa.

Katika nchi hii tunakoelekea kanda ya ziwa lazima ipewe kipa umbele tu upende usipende.

Ukita kujua angalia tangu Magufuli afariki, Mbowe ameshaenda kanda gani mara nyingi kuliko zote?. Samia na Mpango na Majaliwa wameenda kanda ipi mara nyingi kuliko nyingine?
 
Unaandika kwa hofu kwa sababu unajua ukweli.

Povu jingi mno hapa.

JPM anabaki kuwa kwenye historia ya kizazi hiki kwa miaka ijayo.
 
anaitwa takataka
 
Soma vizuri tena.

Samia uko vizuri.

Naamni hapa umeandika mawazo yako yasio na uhusiano na uzi wangu.
 
Ili uwe uchaguzi wa haki ni lazima chadema mshinde?

[emoji23][emoji23][emoji23]Haya dhalimu wako kafa, sasa mbona huendi kushiriki chaguzi ndogo zinazotangazwa?
Usitake kuleta upotoshaji wa kijinga, hakuna popote ninapotaka cdm washinde ndio uchaguzi uwe huru. Ninataka mshindi apatikane kihalali, sina tatizo nani anashinda kihalali.

Dhalimu ndio kupandikiza ukhanithi kwenye chaguzi zetu, hivyo tunataka ukhanithi wote uondoke ndio tushiriki, kinyume na hapo goli liko wazi hilo fungeni mshangilie.
 
Unaandika kwa hofu kwa sababu unajua ukweli.

Povu jingi mno hapa.

JPM anabaki kuwa kwenye historia ya kizazi hiki kwa miaka ijayo.

Anabaki kwenye historia ya viongozi waliokuwa wakiteka watu kupitia kundi lake la watu wasiojulikana. Na anakumbukwa sana na watu wenye bureau de change kwa jinsi alivyowatunzia pesa zao.
 
Anabaki kwenye historia ya viongozi waliokuwa wakiteka watu kupitia kundi lake la watu wasiojulikana. Na anakumbukwa sana na watu wenye bureau de change kwa jinsi alivyowatunzia pesa zao.
Kwa vyoyote vile.

Ndiyo maana tukitaja tu jina la Magufuli.. Mapepo yana kuvuruga. Povu kama lote.

Umechagua kuumia kila wakati. hahah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…