Wanatulazimisha kuendelea kumkumbuka Hayati Magufuli

Kwa vyoyote vile.

Ndiyo maana tukitaja tu jina la Magufuli.. Mapepo yana kuvuruga. Povu kama lote.

Umechagua kuumia kila wakati. hahah.

Ww unayemtetea ndio unapagawa tukiweka uchafu wake hadharani, maana ulitaka kumpaka manukato. Kwangu naona ni kama unapulizia kinyesi perfume.
 
Sasa unasema siyo halali kwa takwimu zipi?

Dhalimu wako si ameondoka na ulishangilia sana? Sasa uhanith wake unakuwaje bado upo?
 

Yaani wee acha tu…

Maneno ya waziri yanaonyesha wazi kabisa hayupo na huo mradi…imani itoke wapi aisee…

Maji hamna umeme hamna halafu majibu tunayopewa ya kimzaha tu…tumerudi nyuma miaka mingapi sijui…angekuwepo jiwe wangejua maji watatoa wapi yeye anachokitaka ni maji bombani hizo hadithi za ukame ukamueleze shangazi yako…

Rest in peace JPM…ulisema tutakukumbuka
 
Kweli kwa akili yako ndogo,Lissu angaweza kumshinda Magufuri?hata kama ccm ilikuwa haipendwi hakuna mpinzani yeyote angasimama na Magufuri akamshinda, acheni kujifariji jengeni vyama vyenu,acheni kusingizia Magufuri wakati vyama vyenu vilikuwa vimeisha jifia tokea 2015,akina Mbowe na Lipumba walipokubali kununuliwa na wanaccm akina Lowassa, Gwajima akiwa mshenga,anguko la upinzani lilianzia hapo.
 
Kabisa kabisa.
 
Ww unayemtetea ndio unapagawa tukiweka uchafu wake hadharani, maana ulitaka kumpaka manukato. Kwangu naona ni kama unapulizia kinyesi perfume.
Ukimchafua tunamsafisha hadi mapepo yakutoke. Tutasimama nae.

Endeleeni na ngonjera zenu huku mkitunyima maji na umeme. Mtajua hamjui.
 
Anabaki kwenye historia ya viongozi waliokuwa wakiteka watu kupitia kundi lake la watu wasiojulikana. Na anakumbukwa sana na watu wenye bureau de change kwa jinsi alivyowatunzia pesa zao.

Kama ni kweli hata na wewe walikukosa tu, watu km nyie mnaokwamisha maendeleo ya nchi niwakupoteza tu…watu wako serious na kazi nyie mnatoa mapovu kuwaua nguvu wasiendelee kupambania nchi..kufa utakufa tu km kwa malaria au mtutu kifo ni kifo hakuna kuwahi wala kuchelewa hata swala anakufa kila siku Mikumi…

Uliza ujerumani na China ilikufika pale wangapi walipotea…
 
Nataka kujua kanda ya ziwa ina umuhimu gani ktk hizo siasa? Yaani hiyo unaweza kufanya nn chenye kumwogofya Samia hadi aje mara nyingi huko?

Unaijua vizuri katiba yetu? Unajua mamlaka ya rais kwa mujibu wa katiba yetu? Samia atakuwa rais kwa vyovyote vile hata kama watanzania wote watamkataa.

Kwahiyo msijimwambafai eti Kanda ya ziwa sijui Nini nini.
 
Ukiona unaota ndoto za mchana kila wakati ujue karibu utakuwa chizi.
 
Acha kumung'unya maneno huyu Mama Urais hauwezi tuna kosa vitu vya msingi kama Maji na Umeme halafu anakaa kimya na mtazamaji kama vile na yeye ni raia wa kawaida.
 
Nani anakulazimisha wewe cheti feki fisadi na mzembe kumkumbuka magufuli?
 
Watu wa Kanda ya ziwa Wana umuhimu gani? Acheni kujikweza. Wamuelewe ama wasimuelewe jiwe kishaenda jehanamu acha apambane na hali yake.

Samia hapendwi lkn jiwe hapendwi zaidi
Kanda ya ziwa ina population kubwa kuliko kanda zote nchini. Huyu mama anapoelekea atakosa hiyo support, vyama vya upinzani waanze kujipenyeza hiyo kanda. Kama Chadema inataka kuingia huko ianze kuwapa vyeo watu wa kanda ya ziwa wenye ushawishi kwenye chama waone matokeo yake.
 
Huku mtaani!, labda unamaanisha nyuma ya keyboard yako. Huko mikoani kuna miradi mingi inamalizika kimya kimya bila ya kuonyeshwa kwenye runinga wala kupigiwa debe.

Kazi inaendelea bila ya makeke.
 
Kwahiyo hata wale waliyojitokeza kwenye kumzika nao walikuwa hawamkubali? Chadema tu ilifikia hadi kumchukua Lowassa ili kushinda uchaguzi nao utasema hawakubaliki ndio maana hadi wakamchukua Lowassa?
 
Huyo unayemkumbuka ndio chanzo kikuu Cha matatizo
Chanzo ni ccm ambayo hata huyo anayokumbukwa kaikuta hiyo ccm ambayo ndio chanzo kikuu cha matatizo,ila ajabu watu et wanadai walimuomba Mungu amuondoe Magufuli na wakasahau kuwa chanzo cha tatizo ni ccm.
 
Kwanza nikopongeze kwa andiko lako lisilo na mhemko ulichoandika ni ukweli kwa 100% .mama alikosea sena kuwarudisha watu wale wale wenye makando kando na hapo ndo anakosa kuaminiwa na walio wengi .
 
Hata majambazi huwa kuna watu wanawalilia wakifa. Mbona walikuwa wanazuia waliokuwa wanashangilia?
Hoja haikuwa kwamba alikuwa anapendwa na wote kiasi kwamba wasiwepo wanaomchukia, issue ni kwamba kwa jinsi mlivyokuwa mnasemaga tulidhani hana watu wengi wanaompenda kiasi kile.
 
Unamatatizo jiangalie bara bara njia 8 kmara aliiacha ikiwa ni zaidi ya 92% kipande cha dara marogoro kilikuww zaidi ya 90% tanzaniate Bridge zaidi ya 80% busi s lile daraja lilkuww zaidi ya 42 mradi wa bwawa ulikuwa unaenda viziru zaidi 46% sasa sijui ylikuwa kwennye nchi gani
 
Mulaaniwe.
Sio kwa matungulile, wala ndulele mekoni
Si kama kinjekitile, unga na maji ya mtoni
Ni kwa hilo jasho tele, Damu tabu za maskini
Nasema Mulaaniwe huu wimbo mpya mjini

Mkata mkato umemkata, kwenye simuni maskini
Wamdumishia ukata , yala! ni hospitalini
Haitoshi kutibika, akatutoka jamani
Nasema Mulaaniwe, mulaaniwe milele

Mtwana pamoja watwana , wakike tumwite nani
Kabisa tunalandana , jasho letu vietini
Bado twa beba mabwana, da! tupo utumwani
Mulaaniwe kwa jasho, mulaaniwe milele

Mapasipoti shidani, garama nao mlolongo
Fursa za ugaibuni, mnatufelisha wabongo
Tumewakosea nini, mwatupiga na magongo
Nasema mulaaniwe, na vizazi vyenu vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…