Wanatulazimisha kuendelea kumkumbuka Hayati Magufuli

Sio kweli kuwa wananchi wote tuna majonzi ya kifo cha dikteta Magufuli, tupo mamilioni tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea kichaa yule katili. Samia naye kaja na uovu wake nasi tutazidi kumulilia Mungu aingilie kati
 
Umeandika ujinga!! watu wasingekuwa na Imani nae wasingemlilia kiasi hicho kwenye msiba wake, jaribu kushirikisha ubongo kabla ya kuandika.
Kwahiyo kipimo cha mtu kupendwa ni watu kulia kwenye msiba wake? Punguani waheed [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kwahiyo mnaonaa sifa kuua,hiyo laana ita waandama na familia zenu
 
Umechekesha sana...
 
Sema kilichobadilika ni kipi na sio kuishia kusema hiki ni kizazi kingine wakati watu hurithishana kizazi kwa kizazi, sasa hiki kizazi cha kuomba connection ndio kina kipi jipya?

Hiki sio kizazi cha kuchaguliwa mke bro, kizazi hiki mtu anachagua mke mwenyewe na sio kutafutiwa na wazazi.


Sasa hivi kuna kukatika kwa umeme kwa hali ya juu, na platform yenye nguvu ya kuhoji huo uhuni ni huku mitandaoni. Je huko kwingine watu hawaonekani kulalamikia hilo wala kuandamana ni kwakuwa wanaridhika, ila waliopo mitandaoni tu ndio wanaolalamika? Kwahiyo kwako maandamano ndio njie pekee kuonyesha kuwa watu hawaridhiki?

Nguvu iliyotumika kuonyesha kuwa anakubalika ilikuwa bayana, huku nguvu kubwa ikitumika kuzima sauti zote za kuonyesha hisia za waliokuwa hawamkubali. Hao waliokuwa hawamkubali walikuwa mitandaoni tu, je hao waliokuwa wanakamatwa na polisi nao walikuwa huku huku mitandaoni?
 
Watu wa Kanda ya ziwa Wana umuhimu gani? Acheni kujikweza. Wamuelewe ama wasimuelewe jiwe kishaenda jehanamu acha apambane na hali yake.

Samia hapendwi lkn jiwe hapendwi zaidi
asipo pendwa jiwe ata pendwa nini kenge wewe
 
Nani anakulazimisha kumkumbuka wewe mtu mzima haulazimishwi,.ukiona uzi wake pita kama huuoni basi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Achana na mambo ya kuambiwa kumkumbuka binadamu, mkumbuke Mungu wako inatosha hayo mengine utashikishwa hadi uchawi
Yesu mwenyewe iliakumbukwe aliamua kuwa binadamu kwanza.. Magufuli kazi yake Kwa hili taifa haiwezi kufunikwa Kwa vyovyote vile yani na mapungufu yake lakini jamaa alitisha sana
 
Yesu mwenyewe iliakumbukwe aliamua kuwa binadamu kwanza.. Magufuli kazi yake Kwa hili taifa haiwezi kufunikwa Kwa vyovyote vile yani na mapungufu yake lakini jamaa alitisha sana
Kabisa kabisa.
 
Taja miwili iliyokamilika.
Nenda pale Ruvu darajani uone daraja linalovyosogea kwa kasi.

Nenda Aga Khan ulione daraja linavyomalizika na likiipamba Dar kutokea angani.

Hapo bado sijazungumzia maelfu ya miradi ya TAMISEMI inayomalizika kwa kasi.
 

Kukosekana kwa umeme na kukosekana kwa maji ndiyo chanzo cha kuendelea kumkumbuka Hayati Magufuli bila kulazimishwa.​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…