Wanatumia Vyoo vya kukaa hatarini kupasuka Makende

Wanatumia Vyoo vya kukaa hatarini kupasuka Makende

Inaonekana kwa asilimia 50% ya wanaume wanaotumia vyoo vya kukaa wako hatarini kupasuka makende hii ni kutokana na jinsi vyoo hivyo vilivyo na namna makende ya mtu yanavyokuwa wamening'inia pale anapokuwa uchi bila nguo hii inawaweka wanaume wengi hatarini kupasuka makende hasa pale anapokuwa anajaribu kujisaidia kwa kutumia vyoo vya kukaa kitendo ambacho kinamuweka hatarini kuyakalia hatimae yapasuke.

Vile vile vyoo vya kukaa ni changamoto kwa watu wanene pale wanapoenda haja kubwa kwani inaonyesha asilimia 50% ya watu wanene hushindwa kujisafisha vizuri pale wanapotumia vyoo vya kukaa wengine wanajikuta wanajipakaza kinyesi tu pale wanapjaribu kujisafisha wamekaa huku kwa upande mwingine wanajikuta wanajisafisha na kubaki na vinyesi bila wao kujijua.

Pia kwa upande wa usafi na usalama wa mtumiaji vyoo hivi husababisha bacteria ambao mara nyingi bacteria hawa huzalishwa na mabaki ya uchafu pale vyoo hivi vinapokosa matunzo mazuri hasa vikiwa vinatumiwa na watu wengi tofauti tofauti hata mke na mume n.k ndio maana mtindo huu wa vyoo haupaswi kuwekwa kwenye public toilet, ni chanzo magonjwa mengi kama U.T.I, FANGASI SEHEMU ZA SIRI, BAWASIRI, MIWASHO MAPAJANI NA SEHEMU ZA SIRI, PUMBU EROSION, na magonjwa mengine mengi.

Kwa kifupi tu ni kwamba vyoo hivi sio salama kiafya.
Sivipendi vyoo hivyo....
Havipaswi kuwa public toilets
 
Vile vile vyoo vya kukaa ni changamoto kwa watu wanene pale wanapoenda haja kubwa kwani inaonyesha asilimia 50% ya watu wanene hushindwa kujisafisha vizuri pale wanapotumia vyoo vya kukaa wengine wanajikuta wanajipakaza kinyesi tu pale wanapjaribu kujisafisha wamekaa huku kwa upande mwingine wanajikuta wanajisafisha na kubaki na vinyesi bila wao kujijua.

Daaah hivi mtoa mada uliwaza nini kwakweli??👐👐👐👐😅😅😅😅😅😅😅
 
Hahaaa, mie nikienda choo cha kukaa huwa napanda pale juu kisha nachuchumaa.

Najua siko peke yangu mwenye tabia kama hii.
Iko siku itakurusha, utalowa uchafu wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inaonekana kwa asilimia 50% ya wanaume wanaotumia vyoo vya kukaa wako hatarini kupasuka makende hii ni kutokana na jinsi vyoo hivyo vilivyo na namna makende ya mtu yanavyokuwa wamening'inia pale anapokuwa uchi bila nguo hii inawaweka wanaume wengi hatarini kupasuka makende hasa pale anapokuwa anajaribu kujisaidia kwa kutumia vyoo vya kukaa kitendo ambacho kinamuweka hatarini kuyakalia hatimae yapasuke.

Vile vile vyoo vya kukaa ni changamoto kwa watu wanene pale wanapoenda haja kubwa kwani inaonyesha asilimia 50% ya watu wanene hushindwa kujisafisha vizuri pale wanapotumia vyoo vya kukaa wengine wanajikuta wanajipakaza kinyesi tu pale wanapjaribu kujisafisha wamekaa huku kwa upande mwingine wanajikuta wanajisafisha na kubaki na vinyesi bila wao kujijua.

Pia kwa upande wa usafi na usalama wa mtumiaji vyoo hivi husababisha bacteria ambao mara nyingi bacteria hawa huzalishwa na mabaki ya uchafu pale vyoo hivi vinapokosa matunzo mazuri hasa vikiwa vinatumiwa na watu wengi tofauti tofauti hata mke na mume n.k ndio maana mtindo huu wa vyoo haupaswi kuwekwa kwenye public toilet, ni chanzo magonjwa mengi kama U.T.I, FANGASI SEHEMU ZA SIRI, BAWASIRI, MIWASHO MAPAJANI NA SEHEMU ZA SIRI, PUMBU EROSION, na magonjwa mengine mengi.

Kwa kifupi tu ni kwamba vyoo hivi sio salama kiafya.
Sivipendi aisee!!
 
Mtoa mada umelewa.Hujuwi vyo vya kuchuchimaa vinasabashi mishipa midogo kwenye ubongo kupasuka na mtu kudondoka chooni.Duniani kote Kuna vyoo vya kukaa.Ni Tz pekee ndiyo hatuna elimu kuhusu hatari ya vyoo vya kuchuchimaa.
Zaidi ya hayo kwa akina mother ni rahisi kupata uti sbabu mkojo unapiga bakuli la choo na kurudia sehemu zake.
 
Una ushauri upi kama nataka kujenga Airbnb niweke zipi au both
Cha kukaa mkuu hakuna namna kama wateja wako kutoka mataifa ya mbele, unless kama eneo kubwa unajenga nyumba ndogo ya ziada kwa ajili ya staffs (haPo unaweka cha kuchuchumaa maana ndo tumezoea hivyo)
 
utumiaji nao ni shida, bado kuna ishu ya uchafu na risk ya magonjwa.
Ni kucheza na kale ka-ring tu, mtu akienda kujisaidia anakashusha ili akalie kuzuia contact ya mwili na choo na akimaliza anakasimamisha pamoja na mfuniko. Changamoto inakuwa kwetu sie wanaume, unakuta mtu amejisahau hajakainua akijua kukojoa anaagizia bila kukasimamisha wakati kale kapo Kwa ajili ya kukalia tu hivyo mtu akikojoa kwa sie tunaokojoa huku tumesimama tayari unakachafua na ndio maana inatakiwa izoeleke mtu akikaa akimaliza anakanyanyua ili ataefuata ndo akishushe wakati anatumia
.All in all umuhimu wa hivi vyoo vya kukaa huwa unaonekana kukiwa na mgonjwa wa kubebwa
 
Hivi huko ulaya kwa wazungu kuna vyoo kwa kuchuchumaa?

Vilipotea miaka 500 iliyopita. Ni umaskini tu ndo maana bado vipo nchi maskini, TZ hadi leo nchi inapewa misaada ya ujenzi wa vyoo, hii ni maajabu.
 
Vyoo vya kukaa nahisi vilibuniwa special kwa ajili ya walemavu,sijui mimi mshamba lakini ktk vitu sijawahi kuvielewa ni vyoo vya kukaa.

Umaskini nao unachangia kuvielewa. Wazungu hawajui kabisa kama kuna vyoo vya kuchuchumaa vilipotea miaka 200 iliyopita kwao.
 
Umaskini nao unachangia kuvielewa. Wazungu hawajui kabisa kama kuna vyoo vya kuchuchumaa vilipotea miaka 200 iliyopita kwao.
Wazungu wapi unasema hawajui kama kuna vyoo vya kuchuchumaa?

Kwanini mnadanganya watu?

Nimefika nchi moja ulaya,baadhi ya majengo kuna vyoo vya kuchuchumaa,sema ni viachache sana.

Hivi leo umasikini umehusishwa na vyoo vya kuchuchumaa?
 
Vilipotea miaka 500 iliyopita. Ni umaskini tu ndo maana bado vipo nchi maskini, TZ hadi leo nchi inapewa misaada ya ujenzi wa vyoo, hii ni maajabu.
Sio umasikini hebu wewe weka public toilet uone
 
Wazungu wapi unasema hawajui kama kuna vyoo vya kuchuchumaa?

Kwanini mnadanganya watu?

Nimefika nchi moja ulaya,baadhi ya majengo kuna vyoo vya kuchuchumaa,sema ni viachache sana.

Hivi leo umasikini umehusishwa na vyoo vya kuchuchumaa?

Wewe umefika tu, sisi tunaishi nao kabisa. Hawajui.

Sio vyoo tu hawajui hata kanda za radio cassette, kupandisha kioo cha gari kwa mkono (manually) nk let alone hivyo vyoo.

TZ bado mnapewa msaada wa ujenzi wa vyoo vya shule na balozi za nje. Watz huko maporini wengi tu hawana vyoo kabisa ndo maana kipindupindu hakiishi hadi leo wakati Ulaya na Amerika cholera iliisha miaka 300 iliyopita.

Kuna mbongo alikuja na malaria kiwanja hospital aliyoenda hawakuwa na dawa specifically for malaria sababu haya magonjwa kwao ni hadithi za miaka ya kale. Ukiumwa cholera kiwanja leo hii chances are hawana dawa yake wakati bongo bado inaua watu sababu wanakula kinyesi chao.

Vyoo vya kuchuchumaa ni story za kale mbele huko, wabongo wanavipenda sababu ya umaskini bado wanataka vyoo vya shimo wasimwage maji na hawaoshi mikono, wanakula kinyesi chao wanaumwa kipindupindu wanadanja.
 
Boss
Hii ni study yako.
Ungetusaidia waliopasuka makende wako wapi na hao wanene wasioweza kujisafisha.
By the way siku hizi vinatoa maji unasafishwa moja kwa moja
duh
 
Kusema kweli hivi vyoo Mimi Huwa sikai Bali Huwa nachuchuma juu yake kama lilivyo choo Cha kuchuchumaa.siwezi kukaa sehemu ambayo mtu yeyeta anakalisha makalio yake na hayaoshi vizuri.Mimi naona kwenye ofisi za umma kama hospitali na stendi wawe wanajenga vyoo vingi vya kuchuchumaa na vichache sana vya walemavu.
 
Sio umasikini hebu wewe weka public toilet uone

Uweke vya nini wakati vyoo vya kuchuchumaa tu vimewashinda kuvitunza. Bongo vyoo kunuka na uchafu sio jambo la kuuliza ni kawaida. Kama hivyo tu vimewashinda kwa nini uweke vyoo vinavyohitaji maji na usafi zaidi?

Unajua kwanini kipindupindu bado kipo Africa? Nitakupa jibu, watu wanakula vinyesi vyao. Hawasafishi vyoo na hawaoshi mikono. Hii yote ni sababu ya ujinga na umaskini. Kama hii imewashinda vyoo vya kukaa hawaviwezi kabisa inabidi watetee kile wanachokiweza.
 
Back
Top Bottom