Labda yupo kwenye Barter Trade era!!
Uchumi ukiwa mzuri haiwezi kuwa ngumu kupata pesa kwa sababu, matunda ya uchumi mzuri ni:
Kuongezeka kwa uzalishaji...! Uzalishaji ukiongezeka na ajira zitaongezeka!
Ajira zikiongezeka, income poverty inapungua kwa sababu, kama unafanya kazi kwenye kiwanda cha maziwa, ujira wako hautakuwa maziwa bali pesa; YES!
Kuongezeka kwa uzalishaji kuta-stimulate exports na hivyo kuongeza more money in the economy na hivyo ku-stimulate more and more investments zitakazoendelea kuongeza uzalishaji, ajira, money!
Kuongezeka kwa uzalishaji kutaongeza mapato ya kodi. Kuongezeka kwa mapato ya kodi again kutachochea kuongezeka kwa miradi kadhaa ya serikali ambayo, na yenyewe itaongeza ajira in addition na ile ajira kutoka private sector... hapa napo; MONEY!
Ukuaji huo wa ajira utachochea ukuaji wa sekta zingine na hivyo kuongeza purchasing power in the economy!! Hii purchasing power haipimwi kwa magunia ya viazi bali fedha fedha!
Watanzania utadhani wamerogwa! Eti kwavile kasema JPM wengine wanaunga mkono!!!
Yaani mnasahau hata kama wengine leo hii mna kazi; kipindi ambacho pesa ilikuwa inawakimbia ni kile ambacho ulikuwa hauna kazi!
Ulikuwa hauna kazi kwa sababu ukuaji wa uchumi wetu hauendani na ukuaji wa labor force!!!!