Wanauchumi nisaidieni hili sijamuelewa Rais

Wanauchumi nisaidieni hili sijamuelewa Rais

Aaron

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
3,019
Reaction score
4,693
174894cb83af8b6f2726bc1b26a210d9.jpg
 
Hiyo ni definition mpya ya uchumi mzuri kwa magufuli.Haya bwana yetu macho kwa uchumi huo wa design ya Tanzania mpya.Kila la heri
 
Mi nshazoea na hakuna kinachonishangaza kwa huyu "mtukufu" wa magogoni. Napambana na hali yangu!
 
Ni kweli kabisa anachokisema rais,

Kuwa na pesa nyingi kwenye mzunguko (Hyper Inflation) sio dalili nzuri ya uchumi lakin pale pesa inapokuwa chache kwenye mzunguko inaashiria hali nzuri au mbaya pia. inategemea na nini kinapelekea pesa kukosekana.

Kwa hiyo rais yupo sahihi....
 
Labda yupo kwenye Barter Trade era!!

Uchumi ukiwa mzuri haiwezi kuwa ngumu kupata pesa kwa sababu, matunda ya uchumi mzuri ni:

Kuongezeka kwa uzalishaji...! Uzalishaji ukiongezeka na ajira zitaongezeka!

Ajira zikiongezeka, income poverty inapungua kwa sababu, kama unafanya kazi kwenye kiwanda cha maziwa, ujira wako hautakuwa maziwa bali pesa; YES!

Kuongezeka kwa uzalishaji kuta-stimulate exports na hivyo kuongeza more money in the economy na hivyo ku-stimulate more and more investments zitakazoendelea kuongeza uzalishaji, ajira, money!

Kuongezeka kwa uzalishaji kutaongeza mapato ya kodi. Kuongezeka kwa mapato ya kodi again kutachochea kuongezeka kwa miradi kadhaa ya serikali ambayo, na yenyewe itaongeza ajira in addition na ile ajira kutoka private sector... hapa napo; MONEY!

Ukuaji huo wa ajira utachochea ukuaji wa sekta zingine na hivyo kuongeza purchasing power in the economy!! Hii purchasing power haipimwi kwa magunia ya viazi bali fedha fedha!

Watanzania utadhani wamerogwa! Eti kwavile kasema JPM wengine wanaunga mkono!!!
Yaani mnasahau hata kama wengine leo hii mna kazi; kipindi ambacho pesa ilikuwa inawakimbia ni kile ambacho ulikuwa hauna kazi!

Ulikuwa hauna kazi kwa sababu ukuaji wa uchumi wetu hauendani na ukuaji wa labor force!!!!
 
Hii picha ya zamani nini, mbona anaonekana kama amekonda
 
Sehemu nzuri ya kuangalia kukua kwa uchumi ni KAZI je wananchi wanakazi zaidi? na kazi zinalipa kulizo muda uliopita.. kama hamna kazi basi uchumi unaweza kukua lakini watu hawaoni manufaa mfano kampuni za mafuta zilipe kodi zaidi bila kuajiri serikali inaweza kupata pesa zaidi lakini hazijaenda kwa watu na ndiyo maana kazi ni sehemu nzuri ya kuangalia
 
Ni kweli kabisa anachokisema rais,

Kuwa na pesa nyingi kwenye mzunguko (Hyper Inflation) sio dalili nzuri ya uchumi lakin pale pesa inapokuwa chache kwenye mzunguko inaashiria hali nzuri au mbaya pia. inategemea na nini kinapelekea pesa kukosekana.

Kwa hiyo rais yupo sahihi....
Low purchasing power sio kiashiria kizuri kwa uchumi
 
Ni kweli kabisa anachokisema rais,

Kuwa na pesa nyingi kwenye mzunguko (Hyper Inflation) sio dalili nzuri ya uchumi lakin pale pesa inapokuwa chache kwenye mzunguko inaashiria hali nzuri au mbaya pia. inategemea na nini kinapelekea pesa kukosekana.

Kwa hiyo rais yupo sahihi....
vipi pesa ikiwa ngumu kupatikana na bei za bidhaa ni kubwa mno
 
Mbona. Mnatoa sana mapovu toeni tafsiri ya ya neno uchumi huyo ndo rais wetu hata utukane matus ya aina gani atabaki kuwa rais
 
Hivi Dinosaur kwa kiswahili anaitwaje?
 
Ni kweli kabisa anachokisema rais,

Kuwa na pesa nyingi kwenye mzunguko (Hyper Inflation) sio dalili nzuri ya uchumi lakin pale pesa inapokuwa chache kwenye mzunguko inaashiria hali nzuri au mbaya pia. inategemea na nini kinapelekea pesa kukosekana.

Kwa hiyo rais yupo sahihi....
Mwenzio kasema kuwa na oeaannyungi chumbani wewe unaongea habari za mzungukobwa Pesa. Hamuongei v2 sawa hapo mkuu. Wewe umeleta yakwako.
 
Back
Top Bottom