Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Low purchasing power sio kiashiria kizuri kwa uchumiNi kweli kabisa anachokisema rais,
Kuwa na pesa nyingi kwenye mzunguko (Hyper Inflation) sio dalili nzuri ya uchumi lakin pale pesa inapokuwa chache kwenye mzunguko inaashiria hali nzuri au mbaya pia. inategemea na nini kinapelekea pesa kukosekana.
Kwa hiyo rais yupo sahihi....
Ni kweli lkn pia inflation sio dalili nzurLow purchasing power sio kiashiria kizuri kwa uchumi
vipi pesa ikiwa ngumu kupatikana na bei za bidhaa ni kubwa mnoNi kweli kabisa anachokisema rais,
Kuwa na pesa nyingi kwenye mzunguko (Hyper Inflation) sio dalili nzuri ya uchumi lakin pale pesa inapokuwa chache kwenye mzunguko inaashiria hali nzuri au mbaya pia. inategemea na nini kinapelekea pesa kukosekana.
Kwa hiyo rais yupo sahihi....
Mwenzio kasema kuwa na oeaannyungi chumbani wewe unaongea habari za mzungukobwa Pesa. Hamuongei v2 sawa hapo mkuu. Wewe umeleta yakwako.Ni kweli kabisa anachokisema rais,