Kanisa ni la Mungu na si mwanadamu!Kwani ni lazima mkutane na kusali pale ubungo?
Hamwezi kupanga eneo jingine mkisubiri mustakabali wa gwajima na serikali Kisha kanisa likifunguliwa mnatejea eneo lenu?
Kwa Nia njema tu nauliza
Oh kwahiyo mmelekezwa msali palepale?waumini wote si ndio?Kanisa ni la Mungu na si mwanadamu!
Mungu akikwambia uende ukaihubiri injili mahala flani hutakiwi kwenda ambako hujaelekezwa.
Matendo 5:59 ...Ni heri kumtii Mungu kuliko Wanadamu
Kwasasa Sauti ya Mungu inasema tutasali hapo, Mungu akisema tukasali kwingine Tutakwenda
Natamani nikuulize KWANINI WAMEFUNGA KANISA? Lakini nafahamubhuna majibu ngoja nikujibu maswali yako;Oh kwahiyo mmelekezwa msali palepale?waumini wote si ndio?
Na mbona gwajima haji pale anasali chumbani kwake?
Nyie ndo mnaishia kupigwa virungu na polisi mnatupwa korokoroni ye anakuwaga wapi?
Ye kaelekezwa abaki huko si ndio?
Sawa
Karibu sana ibadani ndo tunaelekeaMsisahau kuliombea Taifa teule la Israel,,
Limefungwa Kwa sababu gani?Kwani ni lazima mkutane na kusali pale ubungo?
Hamwezi kupanga eneo jingine mkisubiri mustakabali wa gwajima na serikali Kisha kanisa likifunguliwa mnatejea eneo lenu?
Kwa Nia njema tu nauliza
Kwanini wakasali kwingine nasi hapo ubungo? Ebu waeleze hapo kuna shida gani ambako kwingine hakuna?Kwani ni lazima mkutane na kusali pale ubungo?
Hamwezi kupanga eneo jingine mkisubiri mustakabali wa gwajima na serikali Kisha kanisa likifunguliwa mnatejea eneo lenu?
Kwa Nia njema tu nauliza
Kamatieni hapohapo hadi kielewekeNatamani nikuulize KWANINI WAMEFUNGA KANISA? Lakini nafahamubhuna majibu ngoja nikujibu maswali yako;
Ukiwa huna roho mtakatifu huwezi kuelewa!
YESU MWENYEWE ALIJIFICHA soma Yohana 11:53-54 inasema: Basi tangu siku walipofanya shauri kwamba Wamuuwe, Kwahiyo Yesu hakutembea tena WAZIWAZI kati ya wayahudi.
Vivyo PAULO mtume alitoroka ndani ya kikapu, vivyo hivyo hata kwa ELIA
Kuna wakati wa bwana kusema na kuna wakati wa kujificha, na wakakati wa kurarua
Hawezi kujibu hilo swali akiwa na akili timamu subirini akilewa ndipo atawajibu kama mleviLimefungwa Kwa sababu gani?
Kuna vitu vingine ni ngumu mtu akakuelewa mkuu..ila nendeni na nawaatkia Kila la heri katika ibada yenuKwanini wakasali kwingine nasi hapo ubungo? Ebu waeleze hapo kuna shida gani ambako kwingine hakuna?
Kukashifu hakukuongezei kitu Wala hakukusaidii chochote.mi ni mmojawapo wa wapinga uovu na kufutiwa usajili na Hilo kanisa ni kitu nsichounga mkono.Hawezi kujibu hilo swali akiwa na akili timamu subirini akilewa ndipo atawajibu kama mlevi