Wanaume, 2025 hii mnapitia nini kwani?

Wanaume, 2025 hii mnapitia nini kwani?

Mshangazi dot com

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
1,345
Reaction score
3,503
Nimeona hii reply kwenye uzi, ikanifikirisha sana.
Mtu mpaka anaandika hivi lazima kuna kitu kizito nyuma yake.

Nini kimewafikisha hapa? na kuna chochote tunaweza kufanya kuwapunguzia hizi frustrations?

Wanaume 2025.png
 
Achana nae, mwanaume anayelalamika kuendeshwa na mwanamke huyo hajui namna ya kuishi nao kwa akili,
Mwanamke jeuri kwa mwanaume mwenye msimamo wapo ila wachache sana,
Mwanaume akiwa kiongozi mwanamke atasikiliza amri zake na kuzitii hata kama hataki/hapendi.
 
usaliti kwenye mahusiano umekuwa mkubwa sana siku hizi na unaumiza sana mioyo ya watu, upendo umepungua kabisa wapenzi hawapendani bali wanapenda vitu ndio vinavyo wavuta vikiisha , tatizo.

unaona kuna mdau anamshukuru Trump kwa kulifuta shirika la misaada maana alikuwa anafulishwa mpaka chupi hiyo ni baada ya kufukuzwa kazi, kuna mdau mwingine kafuma mawasiliano ya mkewe akiwasiliana na ex wake, unaona Singo maza walivyo wengi mitaani tena wa umri mdogo et miaka 20 binti anakuwa single maza huyo akifika 30 ana watoto watatu kila mtoto na baba yake ni tatizo hilo.

Tamaa imekuwa kubwa, siku hizi wale wanawake wakali kwa wanaume na wavumilivu hawapo tena, wanawake wa zamani walikuwa wakali kwa wanaume wanaotaka kuwachezea, mabinti wa siku hizi kuchezewa wanataka wenyewe, mabinti wa zamani ukianza kumtongoza tu wimbo wa unanioa? unaanzia hapo hapo hata kipapa haujapewa, mabinti wa sasa hivi huwezi ukaimbiwa huo wimbo anasubiri achezewe mpaka afike miaka 30 ndio anaanza kuhaha, tena wengine ukijifanya unataka kumuoa akiwa na umri wa miaka 22 anakuambia mimi bado bado
 
Mwanamke akiolewa aka pata kila kitu huanza kumkumbuka X wake na kuharibu ndoa, hii inashusha sana thamani ya ndoa kwa mwanaume!

Na ni wote, including wewe!

Hamuwezi kufanya chochote maana inaonekana mmeshindwa kabisa kuheshimu ndoa zenu, ndo maana jamaa kaandika hivyo!

Ameandika maneno makali ila namuelewa sana Kabisa, wewe unachoweza kukmtusaidia ni kumheshimu huyo uliye naye!
 
Mwanamke ni chombo cha starehe
Ndoa ni upuuzi ushamba na kupoteza muda
Mwanamke uliyebahatika ndoa kaa mbali na singo maza
Wanawake sikuzote hampendani furaha yenu ni kuona mwanamke mwenzenu anaharibikiwa
Mwanamke haolewi bali anamilikiwa, kufa na kuzikana ni upuuzi ulioanzishwa kutaka kumfanya mwanaume akose mamlaka...
Ndoa za kislam zinadumu kwasababu wanawake wanajua wao ni chombo cha kumpa mwanaume amani upendo na furaha
Ndoa za kikrsto hazidumu kwasababu wanawake wanaamini kuolewa ni kwenda kwa mwanaume kumchuna mali na kusubiri afe amiliki mali
Ndoa za kislam pia zimeanza kuharibika kwasababu wanawake wao wameanza kuiga upuuzi wa falsafa potoshi "kufa na kuzikana"
Dunia inavyozidi kufikiria namna ya kumpokonya mwanaume haki zake za asili pamoja na mamlaka, basi ndivyo wanawake wanageuka kuwa kituko ktk jamii, wanawake wanabaki kuwa wajaza dunia tu na thamani ya mwanamke inazidi kupotea...
Maswali ambayo mnatakiwa mjiulize ni kwanini Singo maza wanaongezeka?
Kwanini wanawake wamekuwa walevi wanakesha bar?
Kwanin wanawake kulala na mwanaume yeyote imekuwa jambo la kawaida?
TRUMP na USA yake wamegundua dunia ilipokosea ndio maana sasa Trump anatumia nguvu kubwa kuibadirisha jamii yake... Nyie Africa mnadhan kuiga upotoshaji ni ujanja...

Watanzania MRUDIENI MUNGU, RUDINI KTK MILA NA DESTURI ZA KITANZANIA...

Kidumu chama tawala👍
People's power forever ✌️
 
usaliti kwenye mahusiano umekuwa mkubwa sana siku hizi na unaumiza sana mioyo ya watu, upendo umepungua kabisa wapenzi hawapendani bali wanapenda vitu ndio vinavyo wavuta vikiisha , tatizo.

unaona kuna mdau anamshukuru Trump kwa kulifuta shirika la misaada maana alikuwa anafulishwa mpaka chupi hiyo ni baada ya kufukuzwa kazi, kuna mdau mwingine kafuma mawasiliano ya mkewe akiwasiliana na ex wake, unaona Singo maza walivyo wengi mitaani tena wa umri mdogo et miaka 20 binti anakuwa single maza huyo akifika 30 ana watoto watatu kila mtoto na baba yake ni tatizo hilo.

Tamaa imekuwa kubwa, siku hizi wale wanawake wakali kwa wanaume na wavumilivu hawapo tena, wanawake wa zamani walikuwa wakali kwa wanaume wanaotaka kuwachezea, mabinti wa siku hizi kuchezewa wanataka wenyewe, mabinti wa zamani ukianza kumtongoza tu wimbo wa unanioa? unaanzia hapo hapo hata kipapa haujapewa, mabinti wa sasa hivi huwezi ukaimbiwa huo wimbo anasubiri achezewe mpaka afike miaka 30 ndio anaanza kuhaha, tena wengine ukijifanya unataka kumuoa akiwa na umri wa miaka 22 anakuambia mimi bado bado
Tugegedane tuu mwandu wangu mambo ya mahusiano karne hii hayapo. Kula mbususu
 
Nilisema Kuna watu humu maswala ya mahusiano wamekula vya kichwa ndo maana anaona sehem yakuja kutoa stress na ghadhab zake ni humu pole yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila na nyie wanawake mna matatizo, acha niseme tu leo

hizo id za kina Asalamaleko Balqior Captain Fire nk zinazowatukana mnazijua, kwanini msizireport zile makufuli?

mnachofanya ni kubishana nazo, na nyie mnatukana, mnapenda drama

mwishowe mnafanya kile kitu ambacho wenyewe mnakataza
 
Mkuu, kwani hatuwezi kufanya both? kureport na pia kuuliza nini kimewatokea mpaka wanaandika na kufikiri hivi?

Huyu niliyeshare reply yake amekuja kwenye nyuzi na kujibu kwa kina sababu zake.

Japo sikubaliani kabisa na namna anavyowasilisha hoja na lugha anazotumia, ila naamini ni haki yake kuzungumza na Moderator wataamua anastahili kufuli au la!
 
Mkuu, kwani hatuwezi kufanya both? kureport na pia kuuliza nini kimewatokea mpaka wanaandika na kufikiri hivi?

Huyu niliyeshare reply yake amekuja kwenye nyuzi na kujibu kwa kina sababu zake.
mijadala ya hivyo haijawahi kuisha pazuri.

imeshathibitishwa humu mara nyingi kwamba hamuwezi kuelewana.
 
Nakubaliana na wewe 💯

But, tatizo siyo mijadala, ni watu wanaoshindwa kuihimili. Ukisema kuna baadhi ya mambo tusiyaongelee that will be some form of silencing. Sidhani kama hiyo itakua nzuri either 😒🙂‍↔️
 
usaliti kwenye mahusiano umekuwa mkubwa sana siku hizi na unaumiza sana mioyo ya watu, upendo umepungua kabisa wapenzi hawapendani bali wanapenda vitu ndio vinavyo wavuta vikiisha , tatizo.

unaona kuna mdau anamshukuru Trump kwa kulifuta shirika la misaada maana alikuwa anafulishwa mpaka chupi hiyo ni baada ya kufukuzwa kazi, kuna mdau mwingine kafuma mawasiliano ya mkewe akiwasiliana na ex wake, unaona Singo maza walivyo wengi mitaani tena wa umri mdogo et miaka 20 binti anakuwa single maza huyo akifika 30 ana watoto watatu kila mtoto na baba yake ni tatizo hilo.

Tamaa imekuwa kubwa, siku hizi wale wanawake wakali kwa wanaume na wavumilivu hawapo tena, wanawake wa zamani walikuwa wakali kwa wanaume wanaotaka kuwachezea, mabinti wa siku hizi kuchezewa wanataka wenyewe, mabinti wa zamani ukianza kumtongoza tu wimbo wa unanioa? unaanzia hapo hapo hata kipapa haujapewa, mabinti wa sasa hivi huwezi ukaimbiwa huo wimbo anasubiri achezewe mpaka afike miaka 30 ndio anaanza kuhaha, tena wengine ukijifanya unataka kumuoa akiwa na umri wa miaka 22 anakuambia mimi bado bado
Jana naona mke wa mtu anapigwa mistar na amejaa kilo,
Na exchange ikafanyika,
 
Back
Top Bottom