Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Tugegedane tuu mwandu wangu mambo ya mahusiano karne hii hayapo. Kula mbususuusaliti kwenye mahusiano umekuwa mkubwa sana siku hizi na unaumiza sana mioyo ya watu, upendo umepungua kabisa wapenzi hawapendani bali wanapenda vitu ndio vinavyo wavuta vikiisha , tatizo.
unaona kuna mdau anamshukuru Trump kwa kulifuta shirika la misaada maana alikuwa anafulishwa mpaka chupi hiyo ni baada ya kufukuzwa kazi, kuna mdau mwingine kafuma mawasiliano ya mkewe akiwasiliana na ex wake, unaona Singo maza walivyo wengi mitaani tena wa umri mdogo et miaka 20 binti anakuwa single maza huyo akifika 30 ana watoto watatu kila mtoto na baba yake ni tatizo hilo.
Tamaa imekuwa kubwa, siku hizi wale wanawake wakali kwa wanaume na wavumilivu hawapo tena, wanawake wa zamani walikuwa wakali kwa wanaume wanaotaka kuwachezea, mabinti wa siku hizi kuchezewa wanataka wenyewe, mabinti wa zamani ukianza kumtongoza tu wimbo wa unanioa? unaanzia hapo hapo hata kipapa haujapewa, mabinti wa sasa hivi huwezi ukaimbiwa huo wimbo anasubiri achezewe mpaka afike miaka 30 ndio anaanza kuhaha, tena wengine ukijifanya unataka kumuoa akiwa na umri wa miaka 22 anakuambia mimi bado bado
Kuna vitu hapo kaandika ni heavy kabisa βNimeona hii reply kwenye uzi, ikanifikirisha sana.
Mtu mpaka anaandika hivi lazima kuna kitu kizito nyuma yake.
Nini kimewafikisha hapa? na kuna chochote tunaweza kufanya kuwapunguzia hizi frustrations?
View attachment 3226419Wanawake wenzangu njooni tuzungumze kidogo
Mtaani huku wenzako wanasema kikubwa kavaa shela na kupigiwa tarumbetahata kama ndoa itakufa kesho yake. Duuh π πwww.jamiiforums.com
kula uliweTugegedane tuu mwandu wangu mambo ya mahusiano karne hii hayapo. Kula mbususu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilisema Kuna watu humu maswala ya mahusiano wamekula vya kichwa ndo maana anaona sehem yakuja kutoa stress na ghadhab zake ni humu pole yake
Mkuu, kwani hatuwezi kufanya both? kureport na pia kuuliza nini kimewatokea mpaka wanaandika na kufikiri hivi?Ila na nyie wanawake mna matatizo, acha niseme tu leo
hizo id za kina Asalamaleko Balqior Captain Fire nk zinazowatukana mnazijua, kwanini msizireport zile makufuli?
mnachofanya ni kubishana nazo, na nyie mnatukana, mnapenda drama
mwishowe mnafanya kile kitu ambacho wenyewe mnakataza
mijadala ya hivyo haijawahi kuisha pazuri.Mkuu, kwani hatuwezi kufanya both? kureport na pia kuuliza nini kimewatokea mpaka wanaandika na kufikiri hivi?
Huyu niliyeshare reply yake amekuja kwenye nyuzi na kujibu kwa kina sababu zake.
Nakubaliana na wewe π―mijadala ya hivyo haijawahi kuisha pazuri.
imeshathibitishwa humu mara nyingi kwamba hamuwezi kuelewana.
Jana naona mke wa mtu anapigwa mistar na amejaa kilo,usaliti kwenye mahusiano umekuwa mkubwa sana siku hizi na unaumiza sana mioyo ya watu, upendo umepungua kabisa wapenzi hawapendani bali wanapenda vitu ndio vinavyo wavuta vikiisha , tatizo.