Your name reminds me of someone, ila yeye alikua hali nauli.Kama ni movie kwenye hilo basi mimi ndo muhusika mkuuu.
Wanajileta wenyewe nitafanyeje nikuwalia tu alafu hela za nauli tamu kama nini
Niliamua kumpotezea lkn baada ya hilo swali akawa ameshaona kwamba alichofanya sijakipenda na sijaamua kumfumbia macho......baada ya siku mbili alikuja mwnyew bila kumtumia nauliUnanunulia spray
Na hasira juuHivi inauma sana mtu kula nauli yako
[emoji4] [emoji4] [emoji4] jamani mbona alikuwa mtu mwema alikuwa hali nauli! Ikawaje mpaka mkaachanaYour name reminds me of someone, ila yeye alikua hali nauli.
Sweet memories!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
We acha tuu nipo geto naangalia fundi alipokosea kuweka gypsumHahaha nakuona unaongea kwa uchungu pole sana
Mi sijasema kama tuliachana.[emoji4] [emoji4] [emoji4] jamani mbona alikuwa mtu mwema alikuwa hali nauli! Ikawaje mpaka mkaachana
Ndiomaana niliamua kukugawa... tehteehhhUshimen, nimekutumia nauli uje kwangu lakini umenipotezea.... Nirudishie pesa yangu kabla sijakuendea Pemba [emoji53][emoji53][emoji53]
Usiponirudishia pesa yangu narudi Pemba kumwambia mganga alipasue hilo bushalo ili tukose wote[emoji12]Ndiomaana niliamua kukugawa... tehteehhh
Maana sio kwa kunitengeneza na jibusha hili.....[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]