Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Nikamuuliza nauli nlokutumia umefanyia nn....mana geto hujafika...!!!!???
 
Kama ni movie kwenye hilo basi mimi ndo muhusika mkuuu.

Wanajileta wenyewe nitafanyeje nikuwalia tu alafu hela za nauli tamu kama nini
Your name reminds me of someone, ila yeye alikua hali nauli.

Sweet memories!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Unanunulia spray
Niliamua kumpotezea lkn baada ya hilo swali akawa ameshaona kwamba alichofanya sijakipenda na sijaamua kumfumbia macho......baada ya siku mbili alikuja mwnyew bila kumtumia nauli
 
Your name reminds me of someone, ila yeye alikua hali nauli.

Sweet memories!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] jamani mbona alikuwa mtu mwema alikuwa hali nauli! Ikawaje mpaka mkaachana
 
Niliamua kumpotezea lkn baada ya hilo swali akawa ameshaona kwamba alichofanya sijakipenda na sijaamua kumfumbia macho......baada ya siku mbili alikuja mwnyew bila kumtumia nauli
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji4] [emoji4] [emoji4] jamani mbona alikuwa mtu mwema alikuwa hali nauli! Ikawaje mpaka mkaachana
Mi sijasema kama tuliachana.

Ila utabiri wako uko sahihi pia!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Shit happens!
 
Ushimen, nimekutumia nauli uje kwangu lakini umenipotezea.... Nirudishie pesa yangu kabla sijakuendea Pemba [emoji53][emoji53][emoji53]
Ndiomaana niliamua kukugawa... tehteehhh
Maana sio kwa kunitengeneza na jibusha hili.....😩😩😩😩
 
Ndiomaana niliamua kukugawa... tehteehhh
Maana sio kwa kunitengeneza na jibusha hili.....[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Usiponirudishia pesa yangu narudi Pemba kumwambia mganga alipasue hilo bushalo ili tukose wote[emoji12]
 
Back
Top Bottom