Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

On behalf of emoji ha ha ha
 
[emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha wewe....kweli Pwani raha, wacha nitafute wa kunitumia nauli nirudi zangu kwetu Pwani
Nilisha kuambiaga kwamba....
Nikipiga jibapa/nyagi kubwa, nakua pwani wako tosha.... tehteehhh
 
Nilisha kuambiaga kwamba....
Nikipiga jibapa/nyagi kubwa, nakua pwani wako tosha.... tehteehhh
Achana na. Pwani wewe, Mshirombo weye utayawezea wapi mambo ya pwani wewe...[emoji12]
 
Bora usimpende maana ukimpenda utanasa [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Nitanasa na busha lake nikipiga mdomo priiiiii priiiiii linashtuka ataniweza wapi miye
 
Achana na. Pwani wewe, Mshirombo weye utayawezea wapi mambo ya pwani wewe...[emoji12]
Huku Ushirombo, sijawahi kubebwa kwenye mbeleko kama vile ulivyo nibeba siku unaenda kuniogesha......😁😁
Na sinto saha vile venye ulinitunzia dhakar kwenye kisosi, ulipo nikalisha kwenye kigoda.... tehteehhh
 
No mwendo wa tumia yako ukifika nakurudishia mara 2 yake . Karb sipigwagi mara 2
 
Msiwaonee uruma ao ma bidada wanaweza nyonya adi damu kama ingekua inawezekana sio Pesa tuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…