Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukilipasua mtakua mnabembea wapi....😞😞😞Usiponirudishia pesa yangu narudi Pemba kumwambia mganga alipasue hilo bushalo ili tukose wote[emoji12]
On behalf of emoji ha ha haKuna mpuuzi mmoja alikuja akanipangia masharti ya kumla wakati nishamtumia hela ya shopping!.. Kumtimua kwangu Mbwa yure nikajifanya kumuwahi niwapigie customer care waizuie wakanambia washaizuia nikarelax!. Kupita masaa 24 hela haijarudi nawapigia customer care wananambia kulikuwa na matatizo kwenye mtandao haikuzuiwa na mbwa imeshaitoa hela!.
Nasemaje wewe Ik*$%% na hao customer care wa @#%% wote mbwaaaa!!..
Siku hiyo ngekubaka tu nijue moja!.. hela umekula mzigo ukanipangia masharti!..
Yaishie uzi huu huu hayo mambo!.[emoji115]
[emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha wewe....kweli Pwani raha, wacha nitafute wa kunitumia nauli nirudi zangu kwetu PwaniUkilipasua mtakua mnabembea wapi....[emoji20][emoji20][emoji20]
Bora usimpende maana ukimpenda utanasa [emoji126] [emoji126] [emoji126]Hivi kwann sikupendi babu
Nilisha kuambiaga kwamba....[emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha wewe....kweli Pwani raha, wacha nitafute wa kunitumia nauli nirudi zangu kwetu Pwani
Bibi, minaona.... Haunipendi kwasababu unaniwaza sana kuliko yule mganga wa Msata......😩😩😩Hivi kwann sikupendi babu
Achana na. Pwani wewe, Mshirombo weye utayawezea wapi mambo ya pwani wewe...[emoji12]Nilisha kuambiaga kwamba....
Nikipiga jibapa/nyagi kubwa, nakua pwani wako tosha.... tehteehhh
Mtaniua kwa cheko....hebu niondoke zangu mie!Nitanasa na busha lake nikipiga mdomo priiiiii priiiiii linashtuka ataniweza wapi miye
Huku Ushirombo, sijawahi kubebwa kwenye mbeleko kama vile ulivyo nibeba siku unaenda kuniogesha......😁😁Achana na. Pwani wewe, Mshirombo weye utayawezea wapi mambo ya pwani wewe...[emoji12]
Kiranga naomba unitumie nauli ya kuja Us ,,hawa kuomba za uber au za kwenda mikoani sio hadhi yakoSijawahi kujihusisha na wanawake wa levelya kuomba nauli.