Wao sio mim,yaaan jijin daslam nitoe mwanamke mkoaniMapopoma wenzio wanatuma na hawakomi
Hahahahaha usiniambie umetoa namba kijanja subiri sms za kufa mtuHivi Dainess unajua hiyo hela niliyokutumia kama nauli nilivimba nikaacha kupeleka marejesho ya Saccos ili nikutumie wewe afu umejifanya mjanja umeingia mitini..!
Kwa taarifa yako nina mganga wangu wa kutoka Msata anaitwa mshana Jr kwa gharama ndogo nikimpa tu anakutandika fusho linaitwa "surhati zubaa" unazubaa miaka saba..! Yaani hautafuti mume wala hela!
Pona pona yako irudishe nauli yangu kwenye namba hii 0787278929993999393 haraka. Nasubiri!
Hahahahah aiseee hana hamu[emoji16] [emoji16] enzi cha ujana wa Chuo nilikula sana pesa za watu jamani...kina likaka linigeria nililipataga mtandaoni uko alikua msumbufu kinyama..nikamwambia usipate shida tuma nauli nakuja Nigeria.. Ila nikawa naogopa balaa..siwajua nguvu za marafiki mnigeria akatuma dollar ...alipiga simu messenger hadi alikoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mpuuzi mmoja alikuja akanipangia masharti ya kumla wakati nishamtumia hela ya shopping!.. Kumtimua kwangu Mbwa yure nikajifanya kumuwahi niwapigie customer care waizuie wakanambia washaizuia nikarelax!. Kupita masaa 24 hela haijarudi nawapigia customer care wananambia kulikuwa na matatizo kwenye mtandao haikuzuiwa na mbwa imeshaitoa hela!.
Nasemaje wewe Ik*$%% na hao customer care wa @#%% wote mbwaaaa!!..
Siku hiyo ngekubaka tu nijue moja!.. hela umekula mzigo ukanipangia masharti!..
Yaishie uzi huu huu hayo mambo!.[emoji115]
Hapana sipo ukoNaww upo badoo?!
Dhambi wapi ni ujinga wakee ila alishakulaani kwa laana zake zote[emoji23][emoji16] [emoji16] [emoji16] acha tu
Yale maisha yalikua matamu Ingawa ilikua dhambi...haha
Yani acha tu...haha..Sanaaa tu tena mibaba na familia kabisa
Hapana sipo uko
Nimezisikia kwa watuUsingejua habari za mtandao wetu pendwa kbs kama haupo
Mwenzanguu alinipa laana kama Zote yani...[emoji16] [emoji16] ila wajinga ndio waliwaoDhambi wapi ni ujinga wakee ila alishakulaani kwa laana zake zote[emoji23]