Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Hivi Dainess unajua hiyo hela niliyokutumia kama nauli nilivimba nikaacha kupeleka marejesho ya Saccos ili nikutumie wewe afu umejifanya mjanja umeingia mitini..!

Kwa taarifa yako nina mganga wangu wa kutoka Msata anaitwa mshana Jr kwa gharama ndogo nikimpa tu anakutandika fusho linaitwa "surhati zubaa" unazubaa miaka saba..! Yaani hautafuti mume wala hela!

Pona pona yako irudishe nauli yangu kwenye namba hii 0787278929993999393 haraka. Nasubiri!
Hahahahaha usiniambie umetoa namba kijanja subiri sms za kufa mtu
 
[emoji16] [emoji16] enzi cha ujana wa Chuo nilikula sana pesa za watu jamani...kina likaka linigeria nililipataga mtandaoni uko alikua msumbufu kinyama..nikamwambia usipate shida tuma nauli nakuja Nigeria.. Ila nikawa naogopa balaa..siwajua nguvu za marafiki mnigeria akatuma dollar ...alipiga simu messenger hadi alikoma
Hahahahah aiseee hana hamu
 
Kuna mpuuzi mmoja alikuja akanipangia masharti ya kumla wakati nishamtumia hela ya shopping!.. Kumtimua kwangu Mbwa yure nikajifanya kumuwahi niwapigie customer care waizuie wakanambia washaizuia nikarelax!. Kupita masaa 24 hela haijarudi nawapigia customer care wananambia kulikuwa na matatizo kwenye mtandao haikuzuiwa na mbwa imeshaitoa hela!.
Nasemaje wewe Ik*$%% na hao customer care wa @#%% wote mbwaaaa!!..
Siku hiyo ngekubaka tu nijue moja!.. hela umekula mzigo ukanipangia masharti!..

Yaishie uzi huu huu hayo mambo!.[emoji115]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom