Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema m-pesa siyo sana tigo bwanaa vihelehele mimi kuna mfanyabiashara kariakoo alikua ananidai na najua yupo bize na anapokea miamala mingi nilichofanya nikamtumia then anikampigia cm umepata akasema ndio nikapiga tigo pesa fasta ikarudishwaDah ilishanitokea nakuja kuangalia hela imerudishwa kuanzia hapo nikitumiwa hela fastaaa M-PESA sitaki ujinga
Hahahahahha pole sana rudi nyumbani ukalaleNimetuma nauli mtoto anatoka arusha ila mpaka sasa hivi nipo ubungo namsubiri sasa sijui kama kweli yupo kwenye basi au yupo kwenye daladala anatoka ungalimited kwenda sakina wanaume tunatabu sanaa
Dhambi ujueSema m-pesa siyo sana tigo bwanaa vihelehele mimi kuna mfanyabiashara kariakoo alikua ananidai na najua yupo bize na anapokea miamala mingi nilichofanya nikamtumia then anikampigia cm umepata akasema ndio nikapiga tigo pesa fasta ikarudishwa
Daah na nilivyokua na hamu nae we acha tuu saivi hapokei simu jamaniHahahahahha pole sana rudi nyumbani ukalale
Hahahaha eti "KOPA" hakuna neno linakera kama hilo ukisema hivyo nakupa msonyooo na block juuMimi shem hiyo style unayoitumia nilishaikataa zamani samani sana baada ya kupata stori kila upande watu kulizwa.
Fb walisha ni block kama watano kwa kunambia nitume nauli na mimi huwaga nawachezea makusudi tu.. Sasa nimtumie mtu nauli kutoka Arusha kuja Dar akati Dar yenyewe kuna watoto wakali huyo wa kazi gani?
Wapige tu ukiwapata nakazia wapige hela vyakutosha maana hawajielewi. Mimi wakinambia nitumie nauli namwambia kopa kwa mtu ukija nakupa huku huku anaishia kuniblock.
Duh..[emoji119] [emoji119]Yan acha tu ndugu yangu kota za Fid4ce
Hapo ulitumia ujanjaSema m-pesa siyo sana tigo bwanaa vihelehele mimi kuna mfanyabiashara kariakoo alikua ananidai na najua yupo bize na anapokea miamala mingi nilichofanya nikamtumia then anikampigia cm umepata akasema ndio nikapiga tigo pesa fasta ikarudishwa
Wozaaaaaarr[emoji23] we muacheAkigoma kutuma nauli kwamba uende atalipa nenda alafu kesho akienda kazini wewe somba kila kitu usepeee
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]naomba ukamlete HUMBLE AficanPART 1.
Hello Janet,
Nmekusubiri kinoma as you promised ila hujatokea.
Nmejaribu kukupigia ila simu yako haipatikani. probably, utakua umepata emergency.
Please call me back when get back online. Nmeshamis sauti yako mwenzio.
Don't stress out about today, there is always next time.
From KANA with love!
Mmmh! Hapo lazima niogope hilo ni bomu umenitegeaPART 1.
Hello Janet,
Nmekusubiri kinoma as you promised ila hujatokea.
Nmejaribu kukupigia ila simu yako haipatikani. probably, utakua umepata emergency.
Please call me back when get back online. Nmeshamis sauti yako mwenzio.
Don't stress out about today, there is always next time.
From KANA with love!