Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

[emoji23] [emoji23] Demiss ukuje unipe mbinu mpya za kumlipua mtu nimemkanya hataki kusikia
Akigoma kutuma nauli kwamba uende atalipa nenda alafu kesho akienda kazini wewe somba kila kitu usepeee
 
Kashaingia kilingeni kumsaidia engineer, hapa mebaki mimi na wewe sasa mrembo!.
Hebu nambie unataka nilipua ngapi niwahi jilipua mwenyewe🙂.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah ilishanitokea nakuja kuangalia hela imerudishwa kuanzia hapo nikitumiwa hela fastaaa M-PESA sitaki ujinga
Sema m-pesa siyo sana tigo bwanaa vihelehele mimi kuna mfanyabiashara kariakoo alikua ananidai na najua yupo bize na anapokea miamala mingi nilichofanya nikamtumia then anikampigia cm umepata akasema ndio nikapiga tigo pesa fasta ikarudishwa
 
Nimetuma nauli mtoto anatoka arusha ila mpaka sasa hivi nipo ubungo namsubiri sasa sijui kama kweli yupo kwenye basi au yupo kwenye daladala anatoka ungalimited kwenda sakina wanaume tunatabu sanaa
Hahahahahha pole sana rudi nyumbani ukalale
 
Mimi shem hiyo style unayoitumia nilishaikataa zamani sana baada ya kupata stori kila upande watu kulizwa.

Fb walisha ni block kama watano kwa kunambia nitume nauli na mimi huwaga nawachezea makusudi tu.. Sasa nimtumie mtu nauli kutoka Arusha kuja Dar akati Dar yenyewe kuna watoto wakali huyo wa kazi gani?

Wapige tu ukiwapata nakazia wapige hela vyakutosha maana hawajielewi. Mimi wakinambia nitumie nauli namwambia kopa kwa mtu ukija nakupa huku huku anaishia kuniblock.
 
Last edited:
Sema m-pesa siyo sana tigo bwanaa vihelehele mimi kuna mfanyabiashara kariakoo alikua ananidai na najua yupo bize na anapokea miamala mingi nilichofanya nikamtumia then anikampigia cm umepata akasema ndio nikapiga tigo pesa fasta ikarudishwa
Dhambi ujue
 
Mimi shem hiyo style unayoitumia nilishaikataa zamani samani sana baada ya kupata stori kila upande watu kulizwa.

Fb walisha ni block kama watano kwa kunambia nitume nauli na mimi huwaga nawachezea makusudi tu.. Sasa nimtumie mtu nauli kutoka Arusha kuja Dar akati Dar yenyewe kuna watoto wakali huyo wa kazi gani?

Wapige tu ukiwapata nakazia wapige hela vyakutosha maana hawajielewi. Mimi wakinambia nitumie nauli namwambia kopa kwa mtu ukija nakupa huku huku anaishia kuniblock.
Hahahaha eti "KOPA" hakuna neno linakera kama hilo ukisema hivyo nakupa msonyooo na block juu
 
inawezekana mie nina zali la mtende kuota jangwani
mara nyingi apointment huwa wanazifanya wanawake zangu kwa kuniambia niwafate walipo ila sio mimi niwaambie waje.....
 
Sema m-pesa siyo sana tigo bwanaa vihelehele mimi kuna mfanyabiashara kariakoo alikua ananidai na najua yupo bize na anapokea miamala mingi nilichofanya nikamtumia then anikampigia cm umepata akasema ndio nikapiga tigo pesa fasta ikarudishwa
Hapo ulitumia ujanja
 
PART 1.

Hello Janet,

Nmekusubiri kinoma as you promised ila hujatokea.
Nmejaribu kukupigia ila simu yako haipatikani. probably, utakua umepata emergency.

Please call me back when you get back online. Nmeshamis sauti yako mwenzio.
Don't stress out about today, there is always next time.

From KANA with love!
 
Last edited:
PART 1.

Hello Janet,

Nmekusubiri kinoma as you promised ila hujatokea.
Nmejaribu kukupigia ila simu yako haipatikani. probably, utakua umepata emergency.

Please call me back when get back online. Nmeshamis sauti yako mwenzio.
Don't stress out about today, there is always next time.

From KANA with love!
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]naomba ukamlete HUMBLE Afican
 
PART 1.

Hello Janet,

Nmekusubiri kinoma as you promised ila hujatokea.
Nmejaribu kukupigia ila simu yako haipatikani. probably, utakua umepata emergency.

Please call me back when get back online. Nmeshamis sauti yako mwenzio.
Don't stress out about today, there is always next time.

From KANA with love!
Mmmh! Hapo lazima niogope hilo ni bomu umenitegea
 
Back
Top Bottom