Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Hiyo haipo tumeshajaribu tukashindwa kuna mtu alitoa pesa bila ridhaa mpaka leo mizinguo masharti wanasema eti upige simu hapohapo wakati yeye kaweka hela huwez
mimi mbona kuna mtu nilimlipa elfu 90 badae akaniletea mizinguo.. tena mimi tigo yeye voda.. nikawmabia basi nimekusamehe ..ila huku nishawaeti voda na tigo kila siku nawaendeka hewani kukumbusha wakaniambia tunasuburi aweke pesa tutamkata..ndani ya siku tano nsiki kitu hicho.. jamaa akanipigia simu nikamwambia kuna wajanja zaidi yako... mitandao ya simu ukiongea nao pesa yako inarudi.. labda uliyemtumia asiweke salio tena.
 
Wanaume tumeumbwa [emoji443] [emoji445] ,,,,,, matesooo mateso kuhangaika,
 
Back
Top Bottom