Oohh OkayNdio niliona ni la kiume
Sikujua anaitwa jina hilo
Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?
Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...
Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema
Kila mtu ameelewa nilichoandika kasoro wewe peke yako, huoni kwamba wewe ndio tatizo? Wapi nimekujibu bila staha?Mbona hueleweki? Unazungumzia choo au kuosha mwili?
Halaf mda mwingine majibu yako yawe na staha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni zuri lakini pia lina changamoto zake his kwa huku kwetuChoo kinatakiwa kiwe na ndoo ya maji Kama siyo chenye mfumo rasmi wa maji,vinginevyo nyinyi wanawake mnaokaa pale ni wachachu Kiwango wa juu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mnaona sasa mambo yenu? Mnaenda kwa wadada mnakojoa mnaacha mikojo yenu inanukaNakumbuka wakati tunasoma chuo kuna muda ilikuwa tunavizia usiku wa saa saba ndo tunaenda washrooms za wadada.
Maana za kiume hali ilikuwa si hali.
Kwamba thread zangu zote ni za kulalamika? Sio kweli. Hata hivyo hapa sijalamika, narekebisha tabiaMara chache sana kukuona umeandika mada na ukiandika ni kulalamika why?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wewe unajiheshimu bosswife akitaka kujua kama nimeonja,huwa anaenda toilet
na hapo utamsikia mafumbo yake 'nyie watoto nani ametoka huku chooni.?' hapo najua nimemwaga maji kidogo na bado smell IPO
*ila mkojo una harufu kali
wa mwingine unavyonikera nadhani na wangu huenda ukawa zaidi..ukute mkojo mixers vodka,energy,alikasusuسيلص,kahawa,ugoro,soda...hata nzi hatui.!!
*huwa namwaga maji ya kutosha;mkojo hauna siri
Huku Buza kila mtu anaenda na kopo lake chooniWe uko mkoa gani ambako chooni hakuna Jaba la maji na kikombe huko?? Maana umenipa wakati mgumu kidogo kwenye hoja yako.
Sent using Jamii Forums mobile app