Wanaume acheni huu uchafu

Khaa hao majirani nuksi😀, basi nenda na ndoo ya maji kama unaona kopo jau, ili wajue unaenda kuoga kumbe short call tu.
 
~ Mimi nawekaga maji mdomoni nikienda chooni nikimaliza kukojoa, nakojoa tena kwa mdomo!!!
 
Kama maji ni kwa ajili ya kumwaga chooni baada ya Haja ndogo (nakubaliana nawewe)

kabla sijasoma yote nilishaandaa comment moja hiyo,nilijua eti tunawe chululuu zetu baada ya kujojoa.
 
Madam, unashea choo na baa au?
 
Mwanaume hawezi kubaki na uchafu wa mkojo Kama atakojoa mpaka mwisho. Sasa maji anaenda kuosha nn kwa mfano wakati mkojo ukisha kata hamna kinacho toka? Au mnataka tuoshe mapumbu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…