Wanaume acheni huu uchafu

Mnaokataa mnajifanya wajuaji ila mleta mada anafundisha tabia njema za kuishi na watu katika jamii.

Hakuna kitu kinachokera kama kukutana na harufu ya mikojo iwe kwa mwanamke ama mwanaume, muhimu wanajamii tunapokwenda haja ndogo tuwe tunajisafisha sehemu zetu za siri na kunwagia maji mikojo yetu ili kuepusha harufu mbaya kwa wanajamii wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna safari ndefu sana! Karne ya ishirini na moja bado tunazungumzia kumwaga maji chooni!
 
Ahsante kwa kunisaidia
 
Hata mume wako anahusika au yeye ni mstaraabu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
98% hawabebi ng'oo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo hata tukitaka kuwakojolea kwenye papuchi pia tuwe tunabeba maji ama?
 
Napinga na nakemea kwa ukali hili nalishikia kidedea HATUTA NA HAITA,HAIWEZEKANI WANAUME TWENDE CHOONI NA MAJI KISA MKOJO!

#HATUPANGIWI.

na uislam safi ni kuosha rungu kwa maji baada ya kukojoa.
 
Nashukuru umesema asilimia kubwa ya wanaume, kwamba sio wote.
Sasa inakuaje kichwa cha habari kiseme wote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…