Na sisi wa Bushi star!? Magunzi (Mishenento) tunabaje/tunabeba nini!?Kubeba maji kwenda chooni, kutumia maji chooni ni utamaduni wa mataifa ya mashariki. Mataifa ya magharibi hayatumii maji chooni wakati wa kujisaidia. Wanatumia karatasi. Ndio maana waliojenga kwa kutumia mtindo wa magharibi hutakuta bomba la maji chooni. Kwa hiyo sio lazima.kwenda na maji chooni
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta kukojoa anachuchumaa..Mmhh Hapa umetudanganya Testical itch inasababishwa That way kweli ??
Pugu boys Sababu ni Maji ya Kisimani (pondi ) wala sio kingine
Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?
Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...
Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema
Finally.. Someone who Understand.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3581]Utamaduni wa pwani huo.. baadhi ya mikoa utaulizwa kama hujabeba gazeti au kibunzi cha mahindi[emoji1][emoji1][emoji1]