Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,212
Na sisi wa Bushi star!? Magunzi (Mishenento) tunabaje/tunabeba nini!?Kubeba maji kwenda chooni, kutumia maji chooni ni utamaduni wa mataifa ya mashariki. Mataifa ya magharibi hayatumii maji chooni wakati wa kujisaidia. Wanatumia karatasi. Ndio maana waliojenga kwa kutumia mtindo wa magharibi hutakuta bomba la maji chooni. Kwa hiyo sio lazima.kwenda na maji chooni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app