Wanaume acheni huu uchafu

Wanaume acheni huu uchafu

Kubeba maji kwenda chooni, kutumia maji chooni ni utamaduni wa mataifa ya mashariki. Mataifa ya magharibi hayatumii maji chooni wakati wa kujisaidia. Wanatumia karatasi. Ndio maana waliojenga kwa kutumia mtindo wa magharibi hutakuta bomba la maji chooni. Kwa hiyo sio lazima.kwenda na maji chooni

Sent using Jamii Forums mobile app
Na sisi wa Bushi star!? Magunzi (Mishenento) tunabaje/tunabeba nini!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mmhh Hapa umetudanganya Testical itch inasababishwa That way kweli ??
Pugu boys Sababu ni Maji ya Kisimani (pondi ) wala sio kingine
Unakuta kukojoa anachuchumaa..
No... anakaa kabisa kwenye sink for him to pick up germs..

Hata hivyo.. Kama Ni choo cha kukaa (European toilet) na mnashare wengi hilo Ni bomu kwa nn ukae!? Dunk au chuchuma juu yake[emoji16][emoji16].. Kama Ni wengi bora mtumie Squatting Toilet..

Either way Kama Jamii ya Male Creatures kubeba maji kutaufanya mkojo kuwa zoezi Muhimu Sana ..Ubongo unagoma kurearrange... Kukata na Kulimwaga haviwezi kamwe kupata same treatment.. Mtusaidie tu.

Tunaloweza kuahidi tutakunywa "mma" kwa wingi.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Utamaduni wa pwani huo.. baadhi ya mikoa utaulizwa kama hujabeba gazeti au kibunzi cha mahindi[emoji1][emoji1][emoji1]
Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?

Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...

Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema
 
Utamaduni wa pwani huo.. baadhi ya mikoa utaulizwa kama hujabeba gazeti au kibunzi cha mahindi[emoji1][emoji1][emoji1]
Hiyo haina shida maana huko kila mtu anatia mzigo wake shimoni
 
Back
Top Bottom