Wanaume acheni huu uchafu

Kubeba maji kwenda chooni, kutumia maji chooni ni utamaduni wa mataifa ya mashariki. Mataifa ya magharibi hayatumii maji chooni wakati wa kujisaidia. Wanatumia karatasi. Ndio maana waliojenga kwa kutumia mtindo wa magharibi hutakuta bomba la maji chooni. Kwa hiyo sio lazima.kwenda na maji chooni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wawekee ndo ya maji hapo chooni, itasaidia sana
 
Hahahah kwa hio viboksa vinanuka mkojo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Out of topic
 
Hebu waambie hawa wanaume wenzio jamani
 
Basi sawa, tutatafuta namna.

Kiukweli hili tatizo ni la kitaifa, ndiyo maana mara nyingi huwa tunaamua kukojoa kwenye majani ili kukwepa hizi kelele za usafi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi eeh kojoeni hukohuko kwenye majani
 
Humu ndani sote tunaishi nyumba zenye maji mpaka chooni isipokuwa wewe, so hili bango lako bora ukabandike kwenye hicho choo mnachoshea.
Kwako kuacha harufu ya mkojo chooni ni sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…