Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

Uongo
 
Tatizo linakuja pale mnapotaka kuchukua bila kutoa. Trust me, you can not take without giving!!
Shida ndio inaanzia hapa mama/dada yangu. Ni nani anatakiwa kuanza kuwajibika. Ni mwanaume atoe huduma kwanza ndio apewe utiifu au mwanamke awe mtiifu kwanza ndio apewe huduma?. Umetusagia wanaume kama vile vile wanawake hawana makandokando, Chukulia mfano wale tunaowatumia nauli halafu hawaji geto kama tulivyokubaliana sasa hapo kesho na kesho kutwa nikikutana na mwanamke lazima nikae kitaalamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…