Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

Hello guys, bado tupo January, so Happy New Year!!

Ni muda sasa nimekua nikisoma na kusikia wakaka mnavyolaumu wanawake kukosa utii na heshima kwenye ndoa na mahusiano, kuwa jeuri sana na kuendekeza gubu.
Imefika mahali elimu na mafanikio ya mwanamke ndio vinaonekana kuwa chanzo cha matatizo haya, pamoja na mengine mengi.🙁

Binafsi sikubaliani nanyi hata kidogo.

Utii hauletwi na mtu kutokua "msomi"! Utii, kama vitu vingine vingi ambavyo hutolewa kwa hiari huwa havitolewi isipokua pale muhusika anapoonekana anastahili.

You can instill fear on a person, ukanunua nidhamu ya uongo, ngono, mapenzi ya kinafiki and so on...ila upendo, utii na kujaliwa ambako ni halisi (real/genuine) hutolewa kwa hiari, na hiari haishurutishwi hata siku moja. Si kwa mazingira (circumstances), uhitaji, pesa, hofu, wala nguvu ya mtu.

Tatizo linakuja pale mnapotaka kuchukua bila kutoa. Trust me, you can not take without giving!!

Wanaume nyie mnataka tuwapende, mnataka tuwajali (mbembelezwe na kupetiwa petiwa), tuwaheshimu, tuwatii, tuwasikilize, tuwa-appreciate etc. , ila nyie mnafanya juhudi gani kututengenezea mazingira/ kutuweka kwenye position ya kuwapa hayo yote na zaidi bila kujiona wajinga? Pengine tunafelishana in the sense that hamna anaetaka kuonekana mnyonge, nyie mnatuonyesha ubabe kwahiyo na sisi tunawaonyesha jeuri.

Hii pia inatokana na the fact that kuna baadhi wanakuwa na watu ambao sio sahihi kwao, either kwa tamaa, uzembe ama haraka ya kuingia kwenye mahusiano. Mtu wa hivi hata umbebe mgongoni, it will never change the fact that HAKUPENDI! Anaweza akawa anakuhitaji kwa sababu moja ama nyingine, but that's pretty much it.

Ukweli ni kwamba, ukiwa na mtu sahihi kwako na ukam-treat vizuri, she'll naturally become your peace...and vice versa!

Tukiacha kushindana, kila mmoja akaanza kumpa mwenzie kila anachoweza kumpa without conditions, judgement, or holding back, maisha yatakua rahisi sana.
PEsa kwanza
 
Wanawake wengi wa keleo hasa nyie mlio enda enda shule mmezeshwa kasumba ya kwamba eti kumuheshimu na kumtii mume ni ushamba,utumwa na ujinga.

Yaani mnaamini hayo ni mambo yaliopitwa na wakati na kwa kufanya hivyo wanawake wenzako hasa wasomi kama wewe watakucheka na kukudharau sana.

Na badala yake sasa hivi mnaona kupandishiana sauti na mumeo, kumbishia bishia karibu kwenye kila jambo, kufanya mambo yako binafsi pasipo ruhusa yake, kumpa unyumba pale unapojiskia wewe, kuamua mambo yanayohusu ustawi wa familia wewe na kucontrol pesa zake kwamba amsaidie yupi asimsaidie yupi eti ndio namnq sahihi ya kuishi na mumeo kwenye ndoa.... Na ukifanya hivi wanawake wenzako wanakusifia sana kwamba wewe ndio mwanamke wa kisasa unayejielewa.

Na mara nyingi Huwa mnataka wanaume ambao watakuwa ni wanyenyekevu kwenu huku wakiwaonesha upendo ikiwemo kuwajali kipesa... Na mkipata mwanaume wa hivi mnamuitaga majina yote matamu matamu sijui sweet darling, gentlemen, real man n.k wakati huo ndani ya mioyo yenu mnakuwa mnamdharau sana.
 
Hello guys, bado tupo January, so Happy New Year!!

Ni muda sasa nimekua nikisoma na kusikia wakaka mnavyolaumu wanawake kukosa utii na heshima kwenye ndoa na mahusiano, kuwa jeuri sana na kuendekeza gubu.
Imefika mahali elimu na mafanikio ya mwanamke ndio vinaonekana kuwa chanzo cha matatizo haya, pamoja na mengine mengi.[emoji853]

Binafsi sikubaliani nanyi hata kidogo.

Utii hauletwi na mtu kutokua "msomi"! Utii, kama vitu vingine vingi ambavyo hutolewa kwa hiari huwa havitolewi isipokua pale muhusika anapoonekana anastahili.

You can instill fear on a person, ukanunua nidhamu ya uongo, ngono, mapenzi ya kinafiki and so on...ila upendo, utii na kujaliwa ambako ni halisi (real/genuine) hutolewa kwa hiari, na hiari haishurutishwi hata siku moja. Si kwa mazingira (circumstances), uhitaji, pesa, hofu, wala nguvu ya mtu.

Tatizo linakuja pale mnapotaka kuchukua bila kutoa. Trust me, you can not take without giving!!

Wanaume nyie mnataka tuwapende, mnataka tuwajali (mbembelezwe na kupetiwa petiwa), tuwaheshimu, tuwatii, tuwasikilize, tuwa-appreciate etc. , ila nyie mnafanya juhudi gani kututengenezea mazingira/ kutuweka kwenye position ya kuwapa hayo yote na zaidi bila kujiona wajinga? Pengine tunafelishana in the sense that hamna anaetaka kuonekana mnyonge, nyie mnatuonyesha ubabe kwahiyo na sisi tunawaonyesha jeuri.

Hii pia inatokana na the fact that kuna baadhi wanakuwa na watu ambao sio sahihi kwao, either kwa tamaa, uzembe ama haraka ya kuingia kwenye mahusiano. Mtu wa hivi hata umbebe mgongoni, it will never change the fact that HAKUPENDI! Anaweza akawa anakuhitaji kwa sababu moja ama nyingine, but that's pretty much it.

Ukweli ni kwamba, ukiwa na mtu sahihi kwako na ukam-treat vizuri, she'll naturally become your peace...and vice versa!

Tukiacha kushindana, kila mmoja akaanza kumpa mwenzie kila anachoweza kumpa without conditions, judgement, or holding back, maisha yatakua rahisi sana.
Another feminist.
 
Sio kila mwanamke ni wa kuolewa akafit kukaa kwenye ndoa, baadhi ni wa kugongwa na kuzalishwa tu
Na hasa wanawake wa kizazi ni wachache sana wenye sifa za kuwa wake za watu labda kuzaa nao tu basi

Tena tukiongelea hawa wasomi ndio kabisa, hawa wanawake wasomi ni potential single mothers nothing more about them in marriage wise.
 
Mtu huko juu kaandika eti "you can not take without giving"

Halafu Tena anakuja kumaliza kwa kukwambia kila mmoja atoe anachoweza without conditions.

Hawa ndio modern women, most confused souls
Tatizo lipo zaidi kwenye tafsiri kuliko nilichosema.

Ikiwa upo na mtu unaempenda ila yeye hakuheshimu, hakujali, hatilii maanani hisia zako wala hana mapenzi na wewe, utaendelea kumpenda kwa moyo wako wote? I highly doubt it! So, will that make your love "conditional"?? I believe not!
This is the kind of "giving and taking" I'm referring to.

A good relationship should be enjoyable and easy to navigate, even on a bad day! Challenges zinakuwepo, lakini hazitawali. Kwahiyo nnaposema kila mmoja atoe anachoweza without condition, namaanisha mtu asianze kumnyanyasa mwenzie na kumpimia mapenzi pale anaposhindwa kutimiza "majukumu" yake kwa 100% kutokana na changamoto za kimaisha. That's the moment when the other partner should step up and support the one who is not at their best.
 
‭Hii formula infanya kazi kila mtu akijua wajibu wake.

Waefeso‬ ‭5:22‭-‬25‬ ‭BHN‬‬

[22] Wake wawatii waume zao kama kumtii Bwana. [23] Maana mume anayo mamlaka juu ya mkewe, kama vile Kristo alivyo na mamlaka juu ya kanisa;

[25] Nanyi waume, wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa, akajitoa mwenyewe sadaka kwa ajili yake.
 
Tatizo lipo zaidi kwenye tafsiri kuliko nilichosema.

Ikiwa upo na mtu unaempenda ila yeye hakuheshimu, hakujali, hatilii maanani hisia zako wala hana mapenzi na wewe, utaendelea kumpenda kwa moyo wako wote? I highly doubt it! So, will that make your love "conditional"?? I believe not!
This is the kind of "giving and taking" I'm referring to.

A good relationship should be enjoyable and easy to navigate, even on a bad day! Challenges zinakuwepo, lakini hazitawali. Kwahiyo nnaposema kila mmoja atoe anachoweza without condition, namaanisha mtu asianze kumnyanyasa mwenzie na kumpimia mapenzi pale anaposhindwa kutimiza "majukumu" yake kwa 100% kutokana na changamoto za kimaisha. That's the moment when the other partner should step up and support the one who is not at their best.
Labda tujaribu kukiangalia hiki ulichokisema kifupi na Tena katika jicho la uhalisia wake zaidi.

Umegusia suala la love kuwa conditional, labda tujiulize kwanza hiyo "conditional love" ni Nini hasa na Iko vipi?

conditional love kwa tafsiri fupi tu Ile hali ya kupendana na kwa sababu kila mtu ananufaika kwa namna moja ama nyingine, na endapo ikitokea mmoja wenu akakosa kile anachonufaika nacho basi Kuna uwezo mkubwa sana uhusiano huo ukafika tamati.

Sasa katika dunia hii ya Leo ambayo kimsingi conditional love ndio imetamaliki, wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa sababu ya monetary benefits na wanaingia kwa sababu ya idealistic benefits.

Ni uongo wa wazi kwamba eti mwanaume anaweza kumjali, kumpenda na kulinda hisia zake tu mwanamke pasipokuwepo na monetary benefits zozote zile halafu uhusiano wao ukadumu, huo ni uongo uliyokubuhu na ndio kitu naona unajaribu kuaminisha hapa

Yaani ukishasema giving and taking tayari umeshaongelea conditional relationship, na hiyo giving and taking lazima ihusishe pesa hakuna kingine dada.
 
Kuhusu suala utii Kuna ukweli kwenye ulichoandika kwamba utii wa mwanamke unakuwa earned na sio kupewa, mwanamke anaonesha utii pale kwenye manufaa ya muda mrefu.

Mabibi na mama zetu waliwatii waume zao kwa sababu walitunzwa na waume zao maisha yao yote, Leo hii wanawake hamna utii kwa sababu mna uwezo wa kujitunza nyie wenyewe hata ikitokea mmeachana na waume zenu... Nimeandika hili kukazia point hapo juu inayosema kuwa "a woman's submission is earned" na sio eti kwa sababu huyo mwanamke anampenda sana mwanaume kama baadhi ya members walivyochangia huko juu
 
Kama tuu kwenye nyumba za ibada wanaambiwa sisi ni maagent unategemea nini sasa. Analazimishwa kutii amri za Mungu huku akisahau amri ile isiyo onekana ya mke kumtii Mumewe naile amri kuu zaidi ya Pendaneni na msinyimane

Mwanaume ili uwe na amani jifunze kupuuza hawa viumbe ila tuu usimwonyeshe kama unampuuza maana kuna wakati ni wazuri sana na kuna wakati ni wakatili hadi shetani anashangaa
 
HAPANA sio kweli hata wanawake wa mjini wapo wenye mapenzi ya kweli kwa wanaume wanaowapenda ambao hawawezi hata kuomba hela kwa wapenzi wao mwisho wa siku wanaishia kuwachuna hao wasiowapenda tu.
Dude I'm so fascinated with your naivety and ignorance about women.... Very very interesting
 
Nitakuwa na bahati mbaya sio poa mkuu!🤪
sio bahati mbaya mkuu, hilo litakuwa ni fungu lako tu maana Mungu humpa kila mja wake kile kimpendezecho na kama una amani vile umepata endelea kuitunza amani yako kwani amani ni kitu pekee cha muhimu na cha kwanza kwa mwanadamu. ukikosa amani hata upewe vingine ambavyo mwanadamu anahitaji utaona tu ni bure.,,,tunza hiyo amani ulonayo usihangaike na unconditional love mkuu
 
Back
Top Bottom