Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Sister kwa hiyo umeanza kunishirikisha kwenye kutongozwa kwako? unataka ukilegea tulegee wote au. Una faini hapo.
Mimi ndio nataka unifundishe jinsi ya kutuma pm nikatongoze mtu.
 
Yaani na wewe unamwamini espy...tupo hapa toka 2011.. sasa hivi pm inamatobo kama net.

Yenyewe ameshanitambulisha shemejiz zaidi ya 10. Haya bado michepuko
Kumbeeee...!

Mwambie mtego wake nimeujua...

Hanipati ng'o [emoji23]
 
Yaani na wewe unamwamini espy...tupo hapa toka 2011.. sasa hivi pm inamatobo kama net.

Yenyewe ameshanitambulisha shemejiz zaidi ya 10. Haya bado michepuko
Uongo dhambi, sijawahi hata kupata pm, nifundishe nitume labda nitajibiwa.
 
Back
Top Bottom