Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Prime minister..Sijaelewa hiyo pm nini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prime minister..Sijaelewa hiyo pm nini ?
Eeeh huyo ndo alieshindwa kukamilisha muamala?Hey baby where have you been?
Wewe mfundisheSister kwa hiyo umeanza kunishirikisha kwenye kutongozwa kwako? unataka ukilegea tulegee wote au. Una faini hapo.
T espy dada yangu wa damu bwana sitaki kuangalia anachukuliwa macho ni.Wewe mfundishe
Mimi nitakuwa nakemea huyo pepo wa kulegea
Mtoe tongotongo tuuT espy dada yangu wa damu bwana sitaki kuangalia anachukuliwa macho ni.
Tongozaneni huko ila nisijue
Yaani na wewe unamwamini espy...tupo hapa toka 2011.. sasa hivi pm inamatobo kama net.Mtoe tongotongo tuu
Pm yake ipo empty...
asee nilijuaga ni ke, nadhan hiyo avatar ndio ilikuwa inachanganya.
Shemeji hakuna hata aliekuja pm toka uanzishe thread?
Mimi ndio nataka unifundishe jinsi ya kutuma pm nikatongoze mtu.Sister kwa hiyo umeanza kunishirikisha kwenye kutongozwa kwako? unataka ukilegea tulegee wote au. Una faini hapo.
Eeh! Kaweka avatar ya ke afu yeye ni me ...asee nilijuaga ni ke, nadhan hiyo avatar ndio ilikuwa inachanganya.
[emoji23]
Kumbeeee...!Yaani na wewe unamwamini espy...tupo hapa toka 2011.. sasa hivi pm inamatobo kama net.
Yenyewe ameshanitambulisha shemejiz zaidi ya 10. Haya bado michepuko
Uongo dhambi, sijawahi hata kupata pm, nifundishe nitume labda nitajibiwa.Yaani na wewe unamwamini espy...tupo hapa toka 2011.. sasa hivi pm inamatobo kama net.
Yenyewe ameshanitambulisha shemejiz zaidi ya 10. Haya bado michepuko
Haha... missed you.Ukiwa muongo usiwe msahaulifu, yule mke wa bashite ulimpa mimba tena au mliishiana vipi???
haki ya Mungu nlikuwa namvutia kasi tuEeh! Kaweka avatar ya ke afu yeye ni me ...
Hahaaa! Pm hakujajam kweli?
Umeamua kutangaza biashara tu ww sio bureAnakwambia pm sms then anakutongoza