Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

Kuna dada jirani yangu hapa,analima kwa mkono,kama kibarua na mashamba ya familia yake....
Anasema anafanya yote hayo kupambania ada ya watoto shule...
Ana watoto sita....mumewe kazi yake ni kuzungusha kende hapa na pale.
Bas mie natazama tu...
Hivi kuolewa ni lazima sana eti wandugu?
 
Sio lazima ni hiyari kama unaweza kujizuia usizini.
 
say no more......
 
Labda tukuulize... Unajua maana ya wema!?.
Na mimi nikuulize unajua maana ya majukumu ya mke kwenye familia?
Shida ufeminist umewapumbaza. Rais wako mwenyewe na cheo alichonacho anakwambia akiwa kwake anampikia hadi mumewe na wala si jambo la kumshusha wala nini. Unakuta mtu ambaye anatukanwa mtaa mzima anajikuta kumpikia mmewe anadai si jukumu lake, lakini mmewe kumpa matumizi basi ni jukumu la mume.
 
Yaani kwanini umtukane mtu wakati unaweza kuongea nae kimya kimya. Kakushinda mrudishe kwao , kwani umekazimishwa uendelee nae.
 
Hapana kuolewa siyo lazima kwa zama hizi mwanamke kama wewe unaweza kufikisha hata miaka 50 na kwenye maisha yako hakuna mwanaume aliejaribu hata kujitambulisha kwenu kuwa anataka akuoe kwahiyo kuolewa siyo lazima kuchezewa ndo lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…