Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

jaman
 
Hayo yote ni kwa sababu ya jamii isiyo na ukombozi wa kifikra
 
Kuna kikundi kinakuja kupingana na mtoa mada,
Kudos mtoa mada sms sent
Kuna wanawake u-single mother wanautafuta kwa nguvu
1. Mtoto anazaliwa, wewe mama ndiyo unakuwa wa kwanza kumpa jina mtoto, baba akitoa jina unakataa. Hapo u-single mother unakuhusu
2. Una mwanaume zaidi ya mmoja, hapo ikitokea mimba lazima usingle mother ukuhusu.
N.B
Kuna wanawaume walikuwa na nia nzuri tu ila kutokana na ujinga wa mwanamke wamebaki pekee yao.
 
kuna haja kama taifa kuanzisha somo jipya la uzazi tena kwa viboko na adhabu kali mashuleni.
Unafikiri hawajui? Basi tu wadau wanaamua kupotezea. Mfano kwa njia ya kalenda, ME hamuulizi ke kuhusu hiyo kalenda, anapeleka moto mzima mzimaa, na KE muda huo hajali tena liwalo na liwe acha apelekewe moto mzima mzima aenjoy the moment... Matokeo yake ndo hayo sasa. Mtego ni utamu. Na unakuta muda huo wadau hawako tayari kuingia kwenye ndoa. Jambo zito hili watu wa jinsia zote mbili hizo elimu wanazo mkuu. Na njia nyingine za uzazi wa mpango watu wa jinsia zote wanazijua vizuri tu.

Mtego ni utamu na kuwa irresponsible kwa pande zote mbili. Hata uwachape viboko mkuu utaumiza mikono yako tu. Kuna mdau humu huwa anasema "Tatizo binadamu ni wabisi sana".

Watu wamepinda mkuu...
 
Ho
Hao wanawake mara nyingi huwa wanataka wenyewe. Si tulishakubaliana kuwa wanawake huzaa pale wanapotaka na hakuna mtoto wa bahati mbaya kwa kizazi cha kidijitali. Wanawake wengi wanazaa na wanaume wakiwa wanajua kabisa kuwa Hakuna future ila wanazaa kwa sababu
1. Mwanaume handsome
2. Akizaa atapata maokoto zaidi
3. Anataka mwenyewe kuwa single maza (Rejea clip ya kondakta wa taifa)
4. Umri umeenda
5. Akimzalia atakuoa. Nk

Mkuu dunia ya leo siamini tena kama kuna mwanamke anapata mimba bahati mbaya. Labda wale wa vijijini watumia viswaswadu ambao hata JF hawapo
 
Hahaha, aisee hao wa kudanganya ivyo wamevurugwa πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Uko sahihi mleta Uzi........ila Wanawake wenyewe wanataka kuwa single mother,japo si wote.Binafsi kuna binti niliwahi kuwa naye kwenye mahudiano, nikaona hapa sasa ngoja nioe, kwasababu tulikuwa tumefahamiana vema,baada ya kumwambia nataka kuja kwenu, akasema yeye kwenye maisha hajawahi kuwaza kuolewa,atazaa na kulea watoto mwenyewe hataki kubanwa banwa,nikapiga chini......akazaa na mume wa mtu iringa huko, ghafla akaanza kunipigia na kuomba ushauri kwangu na kukiri hakuwa na maamuzi sahihi kwasababu ni ngumu sana, mtoto alipokuwa kuna mwamba akaingia line akampeleka kwao,jamaa amemzalisha tena na hana habari naye tena japo alitarajia amuoe......kila siku anapiga Simu nimshauri πŸ˜€πŸ˜€.

Pamoja nasisi kuacha mbegu ovyo,ila dada zetu nao baadhi hawaelewi nini wanataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…