Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

Kosa ni la wote.

Mwanaume kamdanganya mwanamke,

Mwanamke kazaa bila ndoa. Ni tamaduni gani hapa nchini ambayo hailaani kuzaa bila ndoa au makubaliano flani na wazazi?

Sasa mwanamke anapuuzia hayo yote eti kisa mapenzi. Fala!
Ni kweli unachosema binti anakuwa amefanya uzembe sasa swali nakurudishia wewe unaona ni sawa kuzaa na mtu ambaye hajitambui kama huyo ili awe mama watoto wako? [emoji848]
 
Ndiyo Ukweli Wenyewe
NNasema Uongo Ndugu Zangu
Hata Wewe Umkute Binti Yako Amekumbatiwa Na Lijamaa Hata Mahari Halikutoa Na Halitamuoa. Nilitaka Nitelemke Kwenye Gari Nikawazabe Makofi

Maneno Ya Mzilankende AkiwA MUST ~Mbeya
[emoji23][emoji23]
 
Wewe mwanamke una haja gani ya kufanya mapenzi siku yako ya hatari? Hukufikiria yote hayo? Hutaki kupata mimba ni marufuku kufanya mapenzi siku za hatari.
Unapolala na binti yeye hiyo siku unaita ya hatari si ya hatari kwake ni siku ya bahati. Na wewe kulala nae unakuwa ukitegemea nini just incase kashika mimba? [emoji848]
 
True. Ila sasa kama mtu haujampenda, why unafanya nae kwa lengo la kuzaa, kuna namna nyingi za kuzuia ujauzito usipatikane, hilo ni jukumu la mwanaume pia sababu mtoto atakayepatikana wewe ndie utakuwa baba.
 
True mzee.
 
Mleta mada anauchungu sana na jamii yenye ignorance. Keep it up
Jamii inaenda kufeli sana hii mzee. Watoto wanateseka sana mimi napataga huzuni sana kuona watoto wanakuzwa katika kizazi cha sasa ambacho baba na mama kuishi pamoja imekuwa ni nadra watoto wanaishi kwa hisia mpasuko sana.

Ipo siku nakwambia tutakuja kuyajutia haya matendo
 
Ni kweli unachosema binti anakuwa amefanya uzembe sasa swali nakurudishia wewe unaona ni sawa kuzaa na mtu ambaye hajitambui kama huyo ili awe mama watoto wako? [emoji848]
Kwanini unamkaza na hajitambui?

Kwanza kufanya ngono bila ndoa ni kosa kubwa

Maanake we mwenyewe hujitambui

Binadamu wengi hatuangalii mbele hizi ajali hazitokaa ziishe
 
Mimi mfano nikigundua huyu demu hajatulia, tabia mbovu,mkorofi,anakauli mbovu, na kadhalika,then siwezi weka mbegu zangu kwenye mji wake wa uzazi maana najua hatafaa kuwa mke so hafai kuwa mama.
 
Mwanamke anapokupa ruhusa ya kulala nae kitandani maana yake kwa asilimia 50% amekupa kibali cha kuzaa nae sasa wewe kama mwanaume na kiongozi wa maisha yako na maisha ya mwanamke na huyo mtoto ambaye bado haujamtengeneza, unawajibika kuyajenga maamuzi yako kwa maslahi ya wote.
 
Sasa unamkuta mtu anamiliki kadi zaidi ya moja za kliniki,unadhani uyu usingle maza anakosaje
Kama mtoto ni wako mchukue aisee usiache damu yako mikononi mwa malaya. Kila mwanaume akiwa serious hivi wanawake wataanza kuwa makini wataogopa kunyang'anywa watoto.
 
Sawa tumeshawaona wanawake na hizi tabia, je wewe kama mwanaume haujapewa utashi na uwezo wa kuwabaini wanawake wa hovyo na wenye sifa?
 
N wanawake waache kubeba mimba za wanaume ambao hawatawaoa
Wanawake kubeba mimba ni swala la kimaumbile zaidi na wapo ndani ya borrowed time, kuchelewa zaidi kupata mtoto ni kurisk kutopata kabisa.

Wanaume tuna advantage ya kuchagua nani awe mama wa mtoto wangu, kwann hatuwi serious eneo hilo? [emoji848]
 
Mimi mfano nikigundua huyu demu hajatulia, tabia mbovu,mkorofi,anakauli mbovu, na kadhalika,then siwezi weka mbegu zangu kwenye mji wake wa uzazi maana najua hatafaa kuwa mke so hafai kuwa mama.

Sasa ikitokea wewe umemuona kuwa anafaa si utapambana usababishe!! Vipi kuhusu yeye ikiwa hana mitazamo kama yako?
 
Ndio maana nikasema wanaume sasa tuanze kuwa makini maana wanaokwenda kuteseka ni watoto zetu ambao ni damu zetu.

Mtoto wako ni bao lako. Labda kama mwanamke alikuficha juu ya ujauzito ila kama alikwambia na kukufahamisha then unawajibika kuchukua mtoto wako na kumlea usimtelekeze na mwanamke asiyeeleweka.

Watoto wanateseka sana kulelewa mazingira mbali na baba. Hawa wanawake wengi wao hawana uwezo wa kulea wanatutesea watoto wetu. So tuna option mbili, usizae na Mwanamke ambaye umeshaona dalili za kushindwana nae au kama alikuwa anakuigizia tabia then wajibika kwa kuchukua mtoto wako ulee wewe chini ya uangalizi wako na msaada wa beki tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…